lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Kepa alistahili kucheza Championship na mwenzake Christensen na TomoriTuna backline nyepesi kuliko shati la mlevi. Kukosekana kwa Silva na Mendy ni pigo sana kwetu. Hawa The Saints wanaleta mazoea sasa mwaka jana walitufunga nyumbani, jana wamedraw . Yan sisi wenyewe tunaufanya uwanja wetu mgumu kupata matokeo.
Mwakani lazima Chelsea imnunue CB na Goal keeper wa kushindana na Mendy, Kepa hafai hata kushindana na Mendy

