DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Ukinuna uwe na sababuSasa mkuu neno mjinga imetoka wapi hapo. Kwann usishangilie tu kumtoa liver kwa penalti?
Huwezi shangia bila kutukana?
Ukinuna uwe na sababuSasa mkuu neno mjinga imetoka wapi hapo. Kwann usishangilie tu kumtoa liver kwa penalti?
Huwezi shangia bila kutukana?
Kwahiyo unataka tukusaidie nini?,au wewe nipolisi unataka upewe kazi ya kutafuta mwizi aliyetuibia.Wazee wezangu kwa Mendy pale tumeibiwa![]()
Sawa we je hujaibiwa upo salamaWazee wezangu kwa Mendy pale tumeibiwa![]()
Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.Timo alikua offerred kwa Klopp. Klopp akaambiwa fee ni 45M akasema ni nyingi akaachana na Werner, Chelsea wakamchukua.
Klopp akatumia 43M kumsajili Diogo Jota.
Nikaona Klopp miyeyusho kaacha ST aliyejiestablish kule Bundes kwa 45M halafu anatoa 43M kwa ajili ya Jota?
Fast forward mpaka leo.
Diogo Jota ana goli moja la ligi na Werner hana goli. Nasikia bado anazoea ligi.
Exactly ndiyo nilichosema kwamba alisema gharama kubwa au kuna sehemu nimesema alisema werner hana kiwango?Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.
Ingekua vizuri ukafanya tathimini ya bwana comrade K kuliko kumjadili Timo. Mnamuhofia sana siyo?
Comarde k ndiyo nani huyo?Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.
Ingekua vizuri ukafanya tathimini ya bwana comrade K kuliko kumjadili Timo. Mnamuhofia sana siyo?
Statement ya mwisho umesema Jota ana goli moja EPL na Werner hana inaashiria Timo si kitu kwa hiyo tumepigwa kama zenu za hivi karibuniExactly ndiyo nilichosema kwamba alisema gharama kubwa au kuna sehemu nimesema alisema werner hana kiwango?
Aaah blaza unajitoa ufahamu kwamba ushamsahau?Comarde k ndiyo nani huyo?

Hahaha hapana hapana hii ni tafsiri yako tu.Statement ya mwisho umesema Jota ana goli moja EPL na Werner hana inaashiria Timo si kitu kwa hiyo tumepigwa kama zenu za hivi karibuni
Anhaaa yule jamaa aliyetoa assisst kwa Aubameyang ile siku ya fainali ya FA? Tukawapiga 2 kwa 1Aaah blaza unajitoa ufahamu kwamba ushamsahau?
Okqy basi, mchezaji mliyemchukua kwetu ambaye amekuja kuchukua namba yake uyo Comrade K. Najua ushamfahamu![]()
Hehee.. hiyo assist ndio kikubwa pekee cha kujivunia kutoka kwake?Anhaaa yule jamaa aliyetoa assisst kwa Aubameyang ile siku ya fainali ya FA? Tukawapiga 2 kwa 1


Hapana. Msimu uliopita amehusika katika goli 18 za Arsenal. Msimu huu tayari goli mbili kazicreate kwenye ligi siyo carabao kama nanihii na mwenzieHehee.. hiyo assist ndio kikubwa pekee cha kujivunia kutoka kwake?![]()
Goli 18 katika mechi ngapi?Hapana. Msimu uliopita amehusika katika goli 18 za Arsenal. Msimu huu tayari goli mbili kazicreate kwenye ligi siyo carabao kama nanihii na mwenzie
Hehehe msimu mzima Hazard kuscore zaidi ya goli 15 ndiyo ulikua wa mwisho Chelsea. Mkawabambika Madrid maskini.Goli 18 katika mechi ngapi?
Southern Highland una maswali ya kichokozi mzee 🤣🤣🤣Goli 18 katika mechi ngapi?
Bila ile assist tusingebeba ndooHehee.. hiyo assist ndio kikubwa pekee cha kujivunia kutoka kwake?![]()