Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha uongo wewe Alcantara anasumbuliwa na corona sio fitness issues kama ulivyoandika, hii tabia ya kujidai mnajua kilakitu ndio inawaumbua
Mimi huwa sikurupuki kuweka taarifa za uongo ila wewe kwa kukurupuka bila hata kutafiti umeibuka na suala la corona
Nimeweka na ushahidi kauli ya Klopp suala la corona lilikuja baadaye
Fitness issue ilikuwa Game na Arsenal alishindwa kucheza kwa sababu hakuwa fit jtatu ya tarehe 28/9 na Tarehe 29/9 ndio masuala ya Corona ikaingia
 
Ukinuna uwe na sababu,

Khe khee kheeeeee khee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......

NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.

#COYG

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha mi nashabikia Arsenal. Sasa mzee umebisha ukweli kwa kujigamba. Umeletewa ukweli unataka kuanza kujipimisha level za ushabiki. Kipimo cha uplastic ndiyo kama ukigeugeu uliouleta

Ndiyomana nikakwambia hufikii hata nusu ya ushabiki wangu! Katafute maana ya Plastic Fan.
 
Wewe ndugu unapenda kusema uongo eti hujawahi mvunjia heshima shabiki yoyote wa Chelsea na bado hapo hapo unafanya haya. Utasema ni utani ila kwa mwanaume kuwekwa kwenye kundi la wanawake ni dharau kubwa sana labda wewe unaweza kufurahia ila mimi umenikwaza.

Hii siyo Direct attack kwa mshabiki yeyote wa Chelsea.
Hata kama umekataa lakini bado ni joke.
 
Nili screenshot makusudi kwa kuwa nilijua ukijua ziko wapi utaenda kufuta. Haitakiwi ifutwe ili uongo wako udumu na ujirekebishe kuropoka na kusahau

Nimeshasolve hilo nimetrace namba za posts # nimegundua ni posts nilizocopy twitter kwa Fans wa Liverpool.

Sijaedit wala kufuta chochote coz hazina athari yoyote katika maisha yangu.
 
Ninyi Ng'ombe F.C nadhani amejifunza kwetu namna ya kuzicheza mechi kubwakubwa. Next time msitolewe kiboya wajinga nyie

#COYG.
#COYG

Sasa mkuu neno mjinga imetoka wapi hapo. Kwann usishangilie tu kumtoa liver kwa penalti?

Huwezi shangia bila kutukana?
 
Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......

NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.

#COYG
#COYG

Sawa sawa ngoja nitunze hii komenti. Unafikiri ulivyomfunga gadiola last utamfunga tena?[emoji23][emoji23]
 
Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......

NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.

#COYG
#COYG
Europa pia
 
Siku zinakuja hili jukwaa tutalimiliki

Chelsea wote watalikimbia

NB: Huyu ni kepa aliyepaka Oil
IMG-20200930-WA0008.jpg
 
Wenzenu jana walikuwa bize na ratiba ya makundi Uefa nyie mlikuwa bize na Carabao cup [emoji23][emoji23]
Wewe uwe bize na calabao wakati ushafurushwa na wanaojua[emoji23][emoji23]hata huko ni suala la muda tu, teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom