Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
HahahahahahahahahTulia basi kuku we
HahahahahahahahahTulia basi kuku we
SawaAmin nakuambia tunatoka leo. Hawa wanalala si chini ya goli 3
Refer post yangu ya SeptemberI told you mnapigaga sana pasi mwisho wa siku mnapigwa![]()
Awoteee 😆😆😆Mambo sawa sawa ... mambo sawa sawa ... Kepa na Zouma wakiwa uwanjani, mambo sawa sawa ... mambo sawa sawa ... mambo sawa sawa!
Twende tena woteee
Kweli lakini ubaya ni kwamba na watu wenu wa nyuma hawakuwaangusha kabisa. Nao wakazigawa hizo tatuAmin nakuambia tunatoka leo. Hawa wanalala si chini ya goli 3
Niliwahi kukuonya hapa ukabisha,Huna timu ya kupata matokeo zaidi ya kubahatisha tu.Amin nakuambia tunatoka leo. Hawa wanalala si chini ya goli 3
Wanaupiga mwingi sana..Kepa + Zouma hawa jamaa nawakubali sana.




