Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
aisee kuwa mpole tutafukuzaje wachezaji wote hapo ni kocha tuCheltako big 4 mutaisikia kwenye Redio tu.
Fukuzeni kocha na wachezaji wote muanze upya.
aisee kuwa mpole tutafukuzaje wachezaji wote hapo ni kocha tuCheltako big 4 mutaisikia kwenye Redio tu.
Fukuzeni kocha na wachezaji wote muanze upya.
Beki aliingia reec jamesHe lacks tactics za ku-manage big team, kwanza mpaka sasa hajui first eleven yake. Anapanga timu kuwafurahisha waingereza au baadhi ya wachezaji wakati wamezidiwa kwa mbali sana na wachezaji waliopo benchi.
Pili mechi kama ya jana, umeshaona umepoteza uongoz wa magoli mara mbili (maana yake beki hazipo sawa). Ukaongeza goli la tatu, kilichomfanya dakika ya 80-90 asiingize beki mwingine ni nini?
Ukimtetea lampard kwa kikosi hiki basi utakua sio mfuatiliaji mzuri wa mpira. Mechi 5 ameshapoteza point 7 maana yake kwa wastani huo basi atapoteza points si chini ya 50 kwa msimu. Wakati msimu uliopita liverpool alipoteza points 15 tu ndio akawa bingwa.
Kwa uwekezaji wa wachezaji uliofanywa haitakiwi uwe na kocha wa majaribio kama lampard.
Wewe mimi sio wa hivyo, jua mvua nawatia njaaYan wewe umenyongorotwa uko unakuja uku kuleta mdomo. Wenzako kina Dully washachenyemba JF kabisa.
Chelsea badala ya kutumia fursa hii Liver na Man city hawako kwenye form ya mwaka jana na juzi kushindania kombe wanaanza kudroo kiholela kweli
Natumaini watajirekebisha mapema

Back pass ni sehemu ya ball possession, Back pass inapigwa kwa sababu nyuma hakuna opponents na ndio njia sahihi ya kuanza kupanga mashambulizi upya. Tatizo saa nyingine concertation inakosekana kwa wachezaji na error ndogo tu inazaa magoliNa mnaolaumu kepa na mabeki huwa mnaangalia vizuri mechi? Wana mapungufu yao sikatai lakini zile back passes huwa zinawapa sana presha mabeki.
Mwisho wa siku tunarudi pale pale, mbinu hana lampard
Yes upo sawa kabisa, umesema 'future good coach'. Kwahiyo kwa sasa hawezi kutufikisha tunapotaka kwa uwekezaji uliofanyika. Trust me kama chelsea walikua wanahitaji future coach wasingesajili hivi... Hii maana yake wanahitaji kombe msimu huu.Hakuna siku duniani Kocha kapewa sifa nzuri akifanya vibaya, hata aje kocha mzuri namna gani akiboronga atatukanwa tu!
Lampard ni future good coach. Tujue kuwa yeye bado ni mchanga ndio anaanza na namuona kama atapaa ndani ya muda mfupi kuja kuwa kocha mnayemtaka
Kwa sasa weakness kubwa iko kwenye defense anatakiwa kuishauri board imuajiri kocha mzuri wa mabeki kwa sababu kocha hawezi kluwa kila idara
sanaaa aiseeeAbramovic' siku hizi kawa mvumilivu sana.
Jiulize mwenyewe hilo swali, kwamba unafikir wachezaji wanaamua tu kupiga back passes?kwa nn wapige back pass huku wanajua kabisa uwezo wao wa kuhandle presha n mdogo ?
Acha kumfananisha Aubameyang na hayo matakatakaMkuu sema tena!!!
Ulichokisubiria umekipata jana kwa Timo na Havertz.
Nipe ripoti ya Willian na Auba
Arteta akianza kuboronga mtasema hivi hivi. Dynamics na nature ya mashabiki wote duniani iko kama hisia zako unavyoonyeshaYes upo sawa kabisa, umesema 'future good coach'. Kwahiyo kwa sasa hawezi kutufikisha tunapotaka kwa uwekezaji uliofanyika. Trust me kama chelsea walikua wanahitaji future coach wasingesajili hivi... Hii maana yake wanahitaji kombe msimu huu.
Na simuoni huyo lampard kama atatupa kombe lolote
Nje ya mada, ningeambiwa nichague 'future coach' kati ya lampard na arteta basi ningemchagua arteta
Hao kina Mendy, Silva walikuwepo jana?Kwangu lampard anamakosa yake ila defence yetu inafanya mistake za hovyo ambazo zinatucost mechi hii wanacheza vizuri mechi ijayo wako hovyo na kibaya zaid defence ikifanya makosa tu na kepa hawez kuyaficha or kuyasahihisha hayo makosa lazima tutopigwe,
Ndio ni ngumu kwa mabeki kucheza 38 games bila kufanya makosa ila bek zetu zimezid
Ni mda wa lamps kwenda na
Mendy
Azp t.silva zouma chil kama wakiwa fit wote
lampard akafundishe west brom sio chelsea aisee tutaendelea kuumia hv hvJiulize mwenyewe hilo swali, kwamba unafikir wachezaji wanaamua tu kupiga back passes?
Tactics za lampard zinawalazimisha hivyo
Camavinga hawezi kuja kuchezea timu ndogo mkuuNiliwahi kusema wiki chache zilizopita. Kadri muda unavyozidi kwenda ni kama kiwango cha Kanté kinapungua hasa umakini uwanjani sasa kabla mambo hayajaharibika ni kwa nini asiuzwe halafu hela itakayopatikana tukaleta wachezaji damu changa na wa maana kama Rice au Eduardo Camavinga
Sema hivi vitu vinaishia tu kwa sisi mashabiki ila kiuhalisia Kante tunaelekea kumpoteza kihasara japo katusaidia. Laiti ningekua kwenye board nawakaribisha PSG na Inter atleast ndio timu zinauhitaji mno wa DM kama Kanté.
auba na nn yule 😅😅😅Acha kumfananisha Aubameyang na hayo matakataka
Sasa watu wanalalama hata hawaelewi bado manunuzi yanaendelea hasa kwa beki na kipa. Bado tunaruhusu magoli kizembe mnoWala mil 200 hazikuenda bure, kinachotuadhibu ni kwamba manunuzi hatukumaliza, bado tunatakiwa kuingia sokoni. Man city walitumia mil zaidi ya 400, Liverpool zaidi ya 350 sasa sisi wa mil 200 tu ni nini hapo?. Chelsea inatakiwa kununua tena kwa kutumia mil 200 kwenye GK, CB hata wawili, LB wa kusadidiana na Chilwell, DM (Target Declan Rice) world class wa sio chini ya mil 60 ili ikitokea majeruhi kama ya Mendy timu iendelee kucheza. Wee angalia Liverpool wanavyoteseka kwa sababu tu Alisson kaumia wamemuweka Pazia pacha wake na Kepa
•Wachezaj wapi wanafurahishwa or wanapendelewaHe lacks tactics za ku-manage big team, kwanza mpaka sasa hajui first eleven yake. Anapanga timu kuwafurahisha waingereza au baadhi ya wachezaji wakati wamezidiwa kwa mbali sana na wachezaji waliopo benchi.
Pili mechi kama ya jana, umeshaona umepoteza uongoz wa magoli mara mbili (maana yake beki hazipo sawa). Ukaongeza goli la tatu, kilichomfanya dakika ya 80-90 asiingize beki mwingine ni nini?
Ukimtetea lampard kwa kikosi hiki basi utakua sio mfuatiliaji mzuri wa mpira. Mechi 5 ameshapoteza point 7 maana yake kwa wastani huo basi atapoteza points si chini ya 50 kwa msimu. Wakati msimu uliopita liverpool alipoteza points 15 tu ndio akawa bingwa.
Kwa uwekezaji wa wachezaji uliofanywa haitakiwi uwe na kocha wa majaribio kama lampard.
Unahitajika kwenu kule, Aowar keshatua na mjadala umepamba moto.Camavinga hawezi kuja kuchezea timu ndogo mkuu
Mount anacheza namba ngapi?•Wachezaj wapi wanafurahishwa or wanapendelewa
•Mount ni mchezaj mzuri tu, kujituma kwake ndio kunamfanya apangwe game ya wba team ilikuea iko hovyo ils nimount ndie aliyeirudisha team mchezoni
Kila mchezaj huwa na downs zao hawez cheza 30+ yuko kwa form haiwezekani
•Utajuaje first eleven wakat wachezaj wengine ni majeruhi na wachezaj wengin ni kama gar la mkaa, game hii wanacheza vizur game 3 zijazo wanacheza hovyo