kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,820
- 20,806
KaZingua Sana ,,, anyway wamegawana points [emoji1787]Danny Ings amenikera sana unakosaje goli pale Ings.
KaZingua Sana ,,, anyway wamegawana points [emoji1787]Danny Ings amenikera sana unakosaje goli pale Ings.
Endelea kufurahia matokeo ya Liverpool sasa.Awoteee 😆😆😆
Kumbe D, huwa unahasira ! Sikujua.Tulia basi kuku we
[emoji23][emoji23][emoji23]Name : frank lampard
Hype: klop
Ability : frenki werema mapunda
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Alikuwa kwenye uzi wa Liverpool anapiga porojo,Akajisahaulisha kuwa Cheltako haina utofauti na Mlandege kiuchezaji.Kumbe D, huwa unahasira ! Sikujua.
Hawa Mlandege, waliocheza na Simba SC ?!Alikuwa kwenye uzi wa Liverpool anapiga porojo,Akajisahaulisha kuwa Cheltako haina utofauti na Mlandege kiuchezaji.
Hao hao MkuuHawa Mlandege, waliocheza na Simba SC ?!
Yan wewe umenyongorotwa uko unakuja uku kuleta mdomo. Wenzako kina Dully washachenyemba JF kabisa.AZIZA kama AZIZA ,usajili wa Pound mil 200 tunauona.
[emoji3][emoji3]