juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kepa hafai hata kuwa gk no 2 kwa sasa
Kila mechi atakayocheza lazima kuna kosa atafanya ambalo litazaa
beki ikijichanganya tu basi unajua tayar hapa tushafungwa
Kepa unakuta hata kuficha makosa ya mabeki ye hawezi