Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Nitapata usingizi muruuuuaaa kama vile nimepata salary hahahaaaa chelsea bhana yaaaniiii
Haya haya haya.. mende kuangusha kabati tena?
Kudadekii hapa mtaani utafikiri Chelsea kachukua Champions LeagueMende kageuka tembo
mbona chelsea wanachukua hili kombe!
Asante B usingizi umekata kabisa daaa poor me
Cech kawaokoa sana Chelsea leo...
Hongera BJ
Mpe pole......Leo alikuwa upande wa Catalunya.....
Nitapata usingizi muruuuuaaa kama vile nimepata salary hahahaaaa chelsea bhana yaaaniiii
chelsea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kudadekii hapa mtaani utafikiri Chelsea kachukua Champions League
Haya haya haya.. mende kuangusha kabati tena?
Amka acha kuota