Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hii ni dakika ya mwisho mtani....Dakika ya 93Mungu endelea kuwa upande wa chel angala kwa dakika 10 tena..ingawa mimi siyo mshabiki wa chels
Mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hii ni dakika ya mwisho mtani....Dakika ya 93Mungu endelea kuwa upande wa chel angala kwa dakika 10 tena..ingawa mimi siyo mshabiki wa chels
Haya haya haya.. mende kuangusha kabati tena?
Yehuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! It is over Chelsea 2 BARCA 2
tor ass!
sasa wameanza kulia..yaani football is fun!!..
Good job CHELSEA!!
Mpe pole......Leo alikuwa upande wa Catalunya.....Hongera BJ
Matokeo kamili?
...B bado upo au umeshapanda kitandani? Pole sana B naona leo haikuwa siku yenu mjaribu tena mwakani 🙂🙂
Haya haya haya.. mende kuangusha kabati tena?