j5 sijui itakuwaje..
Itakua mwendo mdundo..:A S-fire1:
:suspicious::suspicious::suspicious:......ze bluzzzzzzzzz,.......aaaaahhhh acheni hizo bana, Peasant whr art thou bana?
Jino bovu halina tiba ila kuling'oa...
kimya chenu kimevuka mshindo, msimu ujao
mnashuka daraja wallah mkiendelea na 'patch-patch' zenu hizi..
Kibelaaaaaaaaaaaaaaa....mnhmnhmnh!
labda achezeshe refa wenu Martin Atkinson,yule aliecheza jana vs spurs,maana anaweza kupeta david luiz akamla rafu ktk 18 messi no penati wala kadi,kama alivyofanya vs man utd kwa rooney!We need Barca! Chelsea for life
nilishakia huko nyuma kuwa bosi wa marefa wa UEFA ni mnazi mkubwa wa barca na ndo maana marefa wengi huipendelea barca ili kumfurahisha bosi wao naye aendelee kuwapangia mechi nyingi.ni mpaka hapo huyo jamaa atakapoondolewa kwenye hiyo nafasi ndo haki kwa timu nyingine zinazocheza na barca zitaanza kupatikana.
BTW barca ni timu nzuri sana ambayo haihitaji hata msaada wa marefa lkn sielewi kwanini marefa wanaiharibia kwa kuipa upendeleo hata kwenye mechi ambazo hawaihitaji kubebwa.
Amka acha kuotaLeo matokeo Chel5ea 1-4 Barcelona Messi 2
Leo matokeo Chel5ea 1-4 Barcelona Messi 2
Hah! hah! hah! Kamuulize Fergie kama Barca wanabebwa atakupa ukweli wote. Marefa wote wanafanya makosa. Juzi tumeona Refa akikubali goli "hewa" la Chelsea, does it mean kuwa Chelsea walimhonga refa? How many times have teams benefited from errors made by officials? Wakati JM na Real Madrid yake wanapigwa bao 5 na Barca nani alihongwa?
Kubalini tu kuwa Barca ni level nyingine!!!
Conspiracy theories zitakuwepo daima. Wapo wanaosema Osama hakuuwawa na wamarekani, wengine wanasema no man has landed on the moon, na wengine wanadai Balali hajafa. So sioni ajabu kusikia kuwa wengine wanadai Baraca wan share UEFA!!!