Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cleansheet kwa palace ambao hawakupiga hata On target moja langoni?

Subiri akutane na Wahuni wanatuma Bunduki , matakuja kumkataa hapa hapa

Hamchelewagi nyie , Tulibishana sana hapa kuhusu Kepa ...
Hujaangalia mpira wewe. CP wamefanya shambulizi kipa amefanya save za kutosha. Wewe unaangalia statistics tu
 
EPL Biggest deadline day deals:

Manchester United

  1. Amad Diallo (Atalanta) to Manchester United, £36m
  2. Alex Telles (Porto) to Manchester United, £13.5m
  3. Edinson Cavani to Manchester United, free
Arsenal
  1. Thomas Partey (Atletico Madrid) to Arsenal, £45m
Leeds United
  1. Raphinha (Rennes) to Leeds United, undisclosed fee
Everton
  1. Ben Godfrey (Norwich) to Everton, £20m
Southampton
  1. Theo Walcott (Everton) to Southampton, loan
 
Baada ya deadline jana hakuna mchezaji anatoka Chelsea zaidi ya Bakayoko ambaye ameenda Napoli
Rudiger bado tunaye - amekataa mwenyewe kuhama
Victor Moses bado yuko darajani
Alonso bado yupo
Emerson anabaki
Tomori yupo
Jorginho YES
Xavier Muyamba
Malang Sarr

Walioondoka
RLC - Fulham
Batshuayi - Crystal Palace
Bakayoko - Napoli
Barkley - Aston Villa
Ampadu - Sheffield United
 
Nimefurahi sana kwa Rudiger kubaki.
 
Nimefurahi sana kwa Rudiger kubaki.
Wachambuzi wengi wanasema kilichoadhiri form ya Rudiger ni injury kama ilivyomuadhiri RLC
Odoi amerecover haraka kuliko hao wengine hata Kante naye.
Rudiger angeenda mkopo kwenye timu itakayompa muda wa kurecover ingemsaidia kulikoni abaki na kuambulia FA ambayo iko mara chache sana
Nasema hivyo kwa sababu Chelsea sasa itakluwa na CB 5
Walio kwenye perking order ni Silva na Zouma, wanaofuata ni Tomori, Christesen na Rudiger hao watatu itabidi wasubiri aidha Zouma au Silva wapate majeruhi au corona
 
Niliangalia Southern Highland tatizo lako maneno mengi, Mendy hakupata test yoyote ya maana ,to be honest hata angekuwepo Kepa angepata Cleansheet

Kipindi cha kwanza ni kama Mendy alikuwa Likizo, cha pili pia kashkashi ilikuwa ni ndogo sana
Wachezaji wote wanne wa backline walikuwa kwenye top form kuanzia kwa Ben Chillwell - Man of the match, Silva alikuwa superb, Zouma kama kawaida yake siku hizi na Azpilicute the captain wote walicheza vizuri na kuhakikisha kipa hasogelewi

Quote from Lampard

When called upon at the other end, our back four stood firm. Edouard Mendy did not have a save to make, with Zouma and Thiago Silva particularly dominant in the heart of the defence. A first shutout of the league campaign was rarely in doubt.

‘I’m really pleased with the clean sheet for everyone involved, not just the goalkeeper and the back four,’ acknowledged Lampard.

‘We didn’t give a team who are very dangerous away from home many chances to score, which is great for the focus of the team.

‘Thiago and Kurt looked very good, very composed. Thiago has that great experience and we saw that. He is obviously still in his early days in terms of fitness, but let’s see how that partnership works.

‘I want to find some sort of stability with the back four, of course I do. Those two showed how well they can do it, but that needs to be sustained.’

Source: Lampard praises Thiago Silva and Zouma combination | Official Site | Chelsea Football Club
 
Kikosi cha Chelsea kutoka bara la Africa
Asume wote wangekuwepo kwenye rika moja la sasa hivi na wako kwenye ubora wako kama akina Etoo, Weah, Drogba, Esien, Babayaro, Desailly, Geremi na wengineo je unafikiri hawa jamaa wangeweza kubeba ndoo ya EPL?
View attachment 1589800
Subs: Aina, Rahman, Moses, Traore, Ba, Salah, Ziyech.
Umeangalia rangi? Utaifa au origin ya mchezaji? Naona wafaransa humo
 
Kipindi cha kwanza ni kama Mendy alikuwa Likizo, cha pili pia kashkashi ilikuwa ni ndogo sana
Wachezaji wote wanne wa backline walikuwa kwenye top form kuanzia kwa Ben Chillwell - Man of the match, Silva alikuwa superb, Zouma kama kawaida yake siku hizi na Azpilicute the captain wote walicheza vizuri na kuhakikisha kipa hasogelewi

Quote from Lampard

When called upon at the other end, our back four stood firm. Edouard Mendy did not have a save to make, with Zouma and Thiago Silva particularly dominant in the heart of the defence. A first shutout of the league campaign was rarely in doubt.

‘I’m really pleased with the clean sheet for everyone involved, not just the goalkeeper and the back four,’ acknowledged Lampard.

‘We didn’t give a team who are very dangerous away from home many chances to score, which is great for the focus of the team.

‘Thiago and Kurt looked very good, very composed. Thiago has that great experience and we saw that. He is obviously still in his early days in terms of fitness, but let’s see how that partnership works.

‘I want to find some sort of stability with the back four, of course I do. Those two showed how well they can do it, but that needs to be sustained.’

Source: Lampard praises Thiago Silva and Zouma combination | Official Site | Chelsea Football Club
Nakubaliana na wewe kabisa lembu
 
Umeangalia rangi? Utaifa au origin ya mchezaji? Naona wafaransa humo
Kuna na mwingine alicomment hivyo hivyo na muache kukariri
Naomba nijibu hao wote wamezaliwa Africa na ni waafrica. Kuja kuchukua uraia wa nje ukubwani haina maana unapoteza identity yako
Mfano ukimuondoa Edourd Mendy aliyezaliwa nje ya Afrika lakini bado kachagua kuichezera Senegal, Taifa lake wengine wote wamezaliwa Africa
Kuna aliyesema Marcel Desailly ni mfaransa YES lakini alichukua uraia ukubwani yeye ni mzaliwa wa Acra Ghana ambaye alifanyiwa adoption baadaye akahamia ufaransa
Claude Makele ni Mfaransa lakini kazaliwa Kinshasa wazazi wake walikuwa ni wazaire
 
Kaka hapa umepaniki.

Ungeandika tu "Nimeangalia origin" lakini kudai tumekariri na huku nimekuonyesha najua origin yake na ndiyo maana nikauliza hivyo. Usiwe hivyo mkuu.
 
Ngoja niondoe kapaniki na mimi nije kwenye uhalisia
Je rangi inamfanya mtu kuwa wa taifa fulani?

Ukiondoa rangi, either of the rest is correct
Mfano Mendy ni wa Taifa la Ufaranza lakini ame opt kuichezea Taifa lake la awali
 
Wachambuzi wengi wanasema kilichoadhiri form ya Rudiger ni injury kama ilivyomuadhiri RLC
Odoi amerecover haraka kuliko hao wengine hata Kante naye.
Rudiger angeenda mkopo kwenye timu itakayompa muda wa kurecover ingemsaidia kulikoni abaki na kuambulia FA ambayo iko mara chache sana
Nasema hivyo kwa sababu Chelsea sasa itakluwa na CB 5
Walio kwenye perking order ni Silva na Zouma, wanaofuata ni Tomori, Christesen na Rudiger hao watatu itabidi wasubiri aidha Zouma au Silva wapate majeruhi au corona
lembu Uwezi ukasema Rudiger amedrop performance ikiwa ajacheza hata game 1 na Chelsea msimu Huu na si tu kucheza hata sub hawekwi lakini huyo huyo Rudiger anaitwa team yake ya Taifa ( German) Tena anacheza first eleven huoni hapa Lampard atakuwa ana bifu nae Kama ingekuwa Ni issue ya performance mbona anacheza vizuri kwenye team yake ya Taifa mfano mzuri game ya German vs espain iliyochezwa mwezi uliopita kwenye michuano ya UEFA NATIONAL LEAGUE, Rudiger alikichafua kweli kweli.Rudiger kwenye ubora wake Zouma apati number of course najua Zouma yupo kwenye good performance lakini hamzidi Rudiger siku ngojea Lampard ajichanganye kumpanga Rudiger na Tiago Silva pale Kati utaona jinsi Lampard atavyoumbuliwa Ni Kama alivyoumbuliwa Na Giroud msimu uliopita
shimba96
Cash Money Forever
Southern Highland
 
Ndugu yangu Rudiger kacheza mechi nyingi mwishoni mwa msimu na akacheza fyongo kabisa. Kinachoendelea nyuma ya pazia tusichokijua Rudiger, Lampard na benchi lake wanajua, tusitofautiane sana kwa sababu sisi tuko mbali na tunayoyajua ni ya juju juuu tu
 
Malang Sarr, the young French defender who joined Chelsea in August, will spend the rest of the 2020/21 season on loan at Porto.​

Similar Discussions

Back
Top Bottom