Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawashauri mashabiki wenzangu mnaomchukia Lampard muweke akiba ya hasira, msionyeshe waziwazi msije kuwa kama ndg yetu King Ngwaba sasa hivi anahangaika kutafuta posts za 2017 ili azifute kwa sababu zinamuumbua. Alikuwa hajamkubali kabisa KLOP na falsafa yake. Leo hii kule Liverpool kila mtu anamkubali
Siku za neema zikifika kila shabiki wa Chelsea atamkubali Lampard
 
Twendeni msibani jamani kule manyumbu yanaliwa 3-1
Matial katolewa nje kijinga sana dakika ya 29 sasa manyumbu yanacheza 10 uwanjani mwao
Nakadiria leo watafungwa 9-1

Huu ni msiba mzito. Mimi tayari nimebeba tenti na rambi rambi yangu kabisa
 
1601841687557.png
 
AstonVilla 7-8 LiverPool

[emoji460][emoji460]salah
[emoji460]zuchu 93'
[emoji460]amber Rutty 99'
[emoji460]Nabii Titto 102'
[emoji460]Mama Anna Makinda 107'
[emoji460] Tundu Lissu 117'
[emoji460] Paulo Bashite 120'

#comeback ya kibabe
 
Chelsea tupo vizuri mwaka huu, Kama title contenders wanafungwa 5, 6, 7 hii ina maana akina Zouma wako vizuri na watatuvusha
Unaweza shangaa itakapofika March April 2021 Chelsea imewaacha mbali hao title contenders
Ngoja tusubiri Pulisic na Ziyech waje kundini
Tunatisha mwaka huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom