Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Basi natofautiana nawe kwa hili.
Hata Lampard alikuwa hataki aende, sema Maria na ujuaji wake...!
Mkuu Willian kwa muda mrefu amekua mvivu mno hapa mwisho jiulize kwa nini kacheza vizuri? Huko nyuma kote alishindwa kucheza kama alivyocheza sasa?

Haya jiulize kwanini ameamua kuondoka? Eti kisa mkataba aliopewa una pungufu ya mwaka mmoja aliotamani kupata!! [emoji23]SMH[emoji23]

Shenzi janja janja la Sao Paulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeangalia lakini impact yake kwenye timu? Ngoja nitafute stats kama nitazipata. Ukiacha mechi chache za mwisho ambaza si yeye tu hata akina Tammy et al hawakufanya vizuri, alikuwa bado yuko vizuri.

Ndio maana hata Lampard alikuwa tayari kumbakiza kama wangeelewana mambo ya mikataba ambayo SD Maria alishindwa.
 
Hakuna ujuaji kwa marina
Willian alitaka mkataba wa miaka 3 na marina alimpa mkataba wa miaka 2
Jamaa akakataa kusain

Sera ya klab huwa ni mkataba wa mwaka 1

Wakina lamps,dd,jt hawa wote walikuwa wanapewa mwaka 1
Willian ni nani mpk apewe miaka 3
 
Mkataba ni Makubaliano. Chelsea walishindwa kukubaliana na Willian. Chelsea ilikuwa inahitaji bado huduma ya Willian. Nasema ujuaji kwa sababu head coach ndiye haswa anajua anamtaka nani. So SD alipaswa kumsikiliza pia HC.
 
Mkuu Willian kwa muda mrefu amekua mvivu mno hapa mwisho jiulize kwa nini kacheza vizuri? Huko nyuma kote alishindwa kucheza kama alivyocheza sasa?

Haya jiulize kwanini ameamua kuondoka? Eti kisa mkataba aliopewa una pungufu ya mwaka mmoja aliotamani kupata!! [emoji23]SMH[emoji23]

Shenzi janja janja la Sao Paulo

Sent using Jamii Forums mobile app
Check hii comparison ambayo jamaa kajitahidi kuwa fair

Comparing Willian’s 2019-20 stats to Arsenal’s existing forwards - Planet Football
 
"Lampard couldn't pick Willian due to injury in the 2-1 FA Cup final defeat to Mikel Arteta's side and the manager explained he can do little to convince him to stay at this stage.

“It is his decision, I haven’t got that answer," Lampard told reporters. "I know the situation at the club’s end. I have a great relationship with Willian, but I don’t actually know what the decision is.

"If that happens over the next whatever days, as he said, then that would be good for me in either way. Of course, I am very happy with Willian. He has been brilliant for me this season with his input and work ethic, within the squad.

"But it is his choice and I respect his choice. He has been a great servant for Chelsea if he decides to move on, and if he does decide to move on then Chelsea will move on and we have to look forwards ourselves."

'It's his decision' - Lampard says 'brilliant' Willian must decide his own future | Goal.com
 
Umeangalia lakini impact yake kwenye timu? Ngoja nitafute stats kama nitazipata. Ukiacha mechi chache za mwisho ambaza si yeye tu hata akina Tammy et al hawakufanya vizuri, alikuwa bado yuko vizuri.

Ndio maana hata Lampard alikuwa tayari kumbakiza kama wangeelewana mambo ya mikataba ambayo SD Maria alishindwa.
Hiyo impact ndio ninayoizungumzia mimi na kwa nini inakuja mwishoni mwa mkataba wake? Siku zote alikua wapi asideliver alichofanya mwishoni. Nimemfuatilia Willian kitambo ni mchezaji mzuri ila mvivu mno, anajituma anavyo jisikia yeye, timu inapomuhitaji hafanyi ivyo.

Muache aende kama angekua wa muhimu sana angepewa hiyo miaka 3 anayoihitaji. Ameona amekuja Ziyech kashtuka hataweza kujituma zaidi kupata namba katafuta njia nyepesi Arsenal wakajiingiza naye akaona bora aishi humo kwa Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ujuaji kwa marina
Willian alitaka mkataba wa miaka 3 na marina alimpa mkataba wa miaka 2
Jamaa akakataa kusain

Sera ya klab huwa ni mkataba wa mwaka 1

Wakina lamps,dd,jt hawa wote walikuwa wanapewa mwaka 1
Willian ni nani mpk apewe miaka 3
Kweli kabisa tena kwa upendeleo kapewa miwili bado akakataa. Huyo si anatafuta umungu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo stats za msimu uliopita ndio swali langu lilipo. Alikua wapi miaka ya nyuma anacheza kama analazimishwa. Willian ni mchezaji mzuri ila attitude yake ndio inakera hasa linapokuja swala la maslahi yake binafsi vile anavyojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma unamaanisha ya Maurizio Sarri ama? Sijakuelewa hapo boss.
Kuhusu Maslahi, lazima ujue kuwa mpira ni kazi pia. Pale mwajiri anapokuwa haeleweki lazima mtu atakuwa demoralized. Hii ni popote pale. Aubameyang alitaka kuondoka Arsenal na kama asngekuja Lampard, wachezaji wengi akiwemo Callum Hudson Odoi wangeondoka!
 
Kwanza tumeondoa hata heshima ya namba 10 kumpa Willian avae msimu uliopita. Hakustahili kabisa kuwa sehemu ya watu waliovaa namba 10 ndani ya Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi acha tukubali kutokubaliana. Inaonekana tu binafsi humkubali Willian for whatever reason.
Ameshasogea kwa majirani, tuendelee na waliobakia!
 
Miaka ya nyuma unamaanisha ya Maurizio Sarri ama? Sijakuelewa hapo boss.
Kuhusu Maslahi, lazima ujue kuwa mpira ni kazi pia. Pale mwajiri anapokuwa haeleweki lazima mtu atakuwa demoralized. Hii ni popote pale. Aubameyang alitaka kuondoka Arsenal na kama asngekuja Lampard, wachezaji wengi akiwemo Callum Hudson Odoi wangeondoka!
Kipindi cha Sarri, Conte, Mourinho. Willian katuyumbisha sana hakua na consistency ya performance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timo Werner self isolating for COVID19
Hana covid
IMG_20201008_113912_125.JPG
 
Hiyo impact ndio ninayoizungumzia mimi na kwa nini inakuja mwishoni mwa mkataba wake? Siku zote alikua wapi asideliver alichofanya mwishoni. Nimemfuatilia Willian kitambo ni mchezaji mzuri ila mvivu mno, anajituma anavyo jisikia yeye, timu inapomuhitaji hafanyi ivyo.

Muache aende kama angekua wa muhimu sana angepewa hiyo miaka 3 anayoihitaji. Ameona amekuja Ziyech kashtuka hataweza kujituma zaidi kupata namba katafuta njia nyepesi Arsenal wakajiingiza naye akaona bora aishi humo kwa Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Southern Highland Willian Ni mchezaji mzuri Sana ukimtoa Kovacic wilian ndio mchezaji alionesha performance ya juu Sana Chelsea season nzima ndio maana Lampard akataka abaki sio kweli eti ameonesha performance mwishoni mwa season Kama ulivyosema nakumbuka pia ule msimu ambao Hazard na wenzake walivyodrop performance Willian alituokoa naakachaguliwa best player wa Team ebu jaribu kumpa heshima yake.Team kubwa Kama Chelsea ilitakiwa iwe na watu wa maana kwenye benchi akitoka huyu anaingia huyu mfano Leo tungekuwa na Willian na Ziyech competition ingekuwa Bora Sana kiasi ambacho ingepandisha viwango Mara dufu tofauti na sasa unaona kabisa Ziyech Hana mshindani.
Stefano Mtangoo
 
Mkuu Willian ni mchezaji wa kawaida sana lakini ni kama ana bahati tu kucheza Chelsea. Kuna wachezaji wazuri wa kibrazil sema basi tu hawapati attention. Mfano Felipe Anderson ana bahati mbaya tu ameandamwa na majeraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi natofautiana nawe kwa hili.
Hata Lampard alikuwa hataki aende, sema Maria na ujuaji wake...!
Mimi ni mshabiki mzuri sana wa Willian ila nimefurahi ameondoka ili apishe nafasi kwa wageni na akina Odoi. akimaliza mwaka na akipewa muda wa kitosha Odoi atakuwa onfire zaidi ya Willian.
Tatizo kibwa la Willian anacheza akitaka, Asipotaka ni mbovu kwenda mbele. Kama huamini mfuatilie Arsenal sasa
 
"Lampard couldn't pick Willian due to injury in the 2-1 FA Cup final defeat to Mikel Arteta's side and the manager explained he can do little to convince him to stay at this stage.

“It is his decision, I haven’t got that answer," Lampard told reporters. "I know the situation at the club’s end. I have a great relationship with Willian, but I don’t actually know what the decision is.

"If that happens over the next whatever days, as he said, then that would be good for me in either way. Of course, I am very happy with Willian. He has been brilliant for me this season with his input and work ethic, within the squad.

"But it is his choice and I respect his choice. He has been a great servant for Chelsea if he decides to move on, and if he does decide to move on then Chelsea will move on and we have to look forwards ourselves."

'It's his decision' - Lampard says 'brilliant' Willian must decide his own future | Goal.com
Tafuta popote washabiki wengi wa chelsea wamelalamika. Lampard hawezi kusema hamtaki willian kwa sababu kwenye msimu wake Willian kacheza vizuri. Ila sisi tunaomfuatilia Willian tangu ajiiunge Chelsea tunakua kwa nini Willian msimu huo alicheza vizuri
Narudia kisema wewe mfuatilie Willian kule Arsenal, bado mechi chache ataanza kipewa sub.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom