Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu yangu Rudiger kacheza mechi nyingi mwishoni mwa msimu na akacheza fyongo kabisa. Kinachoendelea nyuma ya pazia tusichokijua Rudiger, Lampard na benchi lake wanajua, tusitofautiane sana kwa sababu sisi tuko mbali na tunayoyajua ni ya juju juuu tu
lembu uwezi ukampima performance ya mchezaji kwa performance iliyopita Kama Ni hivyo mbona jorginho,mount,Zouma, Christensen walikuwa na performance mbaya performance za msimu uliopita mwishoni kwanini msimu Huu anawachezesha?

Swali la pili ambalo unashindwa kunijibu Kama kweli Rudiger amedrop kiwango kwanini anaanza kwenye timu yake ya Taifa Ujerumani na anaperform vizuri kitu gani joakhim low anakiona ambacho Lampard akioni?
 
Kuna washabiki wanailaumu uongozi wa Chelsea kumruhusu Marco van Ginkel kwenda mkopo wakati yeye ni mzuri ya Mason Mount na Jorginho ukiwachanganya kwa pamoja. Marco van Ginkel ni kiungo mfungaji mzuri sana na hakupewa muda wa kuonyesha hiyo talent kwenye first team
 
Natumaini wewe sio mgeni wa dynamics za mpira wa miguu na mazingira inayomfanya mchezaji asiperform kwenye system A lakini akaperform kwenye system B, asiperform kwa kocha huyu lakini akaperform kwa kocha yule.

Nafikiri pia ulikuwa unawafuatilia akina Zouma msimu uliopita hakuna CB aliye maintain consistency kama Zouma
Kuna wakati combination ya Zouma na Rudiger ilikubali lakini baadaye ikakataa na aliyekuwa anaharibu ni Rudiger hasa baada ya kurudi amjeruhi. Mwishoni kabisa Combination ya Zouma na Christensen ndio ikantiki japo sio sana.

Mwanzoni mwa msimu Zouma yuko onfire, kocha yeyote mwenye mapenzi mema na timu hawezi kumtoa CB aliyeko onfire na kumuweka CB wa kugable kama Rudiger. Rudiger awekwe kwenye mechi ndogo ili fitness yake irudi normal ndio sasa tuwe CB wa ushindani kama ilivyo kule mbele Odoiu onfire lakini anaweza anzia benchi, Tammy na Giroud ni wazuri lakini mmoja wapo anaanzia benchi

Tumuache kocha sasa abaki na combination ya Zouma na Silva ambayo inaonekana itakuwa dawa ya leaking defense yetu. Kwenye mabeki wawili wa kukaa benchi tumuache Kocha aamue. Kama Rudiger anafanya vizuri kwenye mazoezi nafikiri atarudi kwenye benchi na hatimaye atapata muda wa kuonyesha kuwa kocha aliona vibaya kama ilivyokuwa kwa Giroud mwaka jana.

Kupanga timu yenye kuleta ushindi sio kazi rahisi na hasa unapokuwa kocha mwenye options nyingi zinazofaa au zisizofaa
Kule mbele naona kocha atapatia hasa Ziyech akipona na Pulisic akirudia kwenye full fitness
Kwenye viungo bado kocha anahangaika kwenye no. ya Kovacic kwa sababu Kovacic ameanza kutokuwa na consistency ndio maana mara Jorginho mara Kovacic, akipona Bill Gilmour ndio atashindwa zaidi
 
Hiv jamani Timo nae kaitwa timu ya taifa
 
Goals conceded last weekend:

Adrian: 7
De Gea: 6
Kepa: 0
IMG_20201007_091657.jpg
 
Kuna washabiki wanailaumu uongozi wa Chelsea kumruhusu Marco van Ginkel kwenda mkopo wakati yeye ni mzuri ya Mason Mount na Jorginho ukiwachanganya kwa pamoja. Marco van Ginkel ni kiungo mfungaji mzuri sana na hakupewa muda wa kuonyesha hiyo talent kwenye first team
Sasa kama hakupewa muda umejuaje kuwa ni mzuri?
 
Kuna washabiki wanailaumu uongozi wa Chelsea kumruhusu Marco van Ginkel kwenda mkopo wakati yeye ni mzuri ya Mason Mount na Jorginho ukiwachanganya kwa pamoja. Marco van Ginkel ni kiungo mfungaji mzuri sana na hakupewa muda wa kuonyesha hiyo talent kwenye first team
Huyu amekaa mwaka mzima njee, huyu anahitaji kucheza regular aweze rudisha kiwango chako, na kwa sasa hatuna huo mda kama tulivyomtoa RLC
 
Naangalia game ya German vs Turkey Kai havertz ka asist goal la draxler.
 
After having positive talks with Jose Mourinho and Tottenham, Antonio Rudiger decided to turn down a move to Spurs because he did not want to cause problems with Chelsea fans playing for their London rivals.

- The Athletics
 
Rudiger ana akili kubwa.
 
Wachambuzi wengi wanasema kilichoadhiri form ya Rudiger ni injury kama ilivyomuadhiri RLC
Odoi amerecover haraka kuliko hao wengine hata Kante naye.
Rudiger angeenda mkopo kwenye timu itakayompa muda wa kurecover ingemsaidia kulikoni abaki na kuambulia FA ambayo iko mara chache sana
Nasema hivyo kwa sababu Chelsea sasa itakluwa na CB 5
Walio kwenye perking order ni Silva na Zouma, wanaofuata ni Tomori, Christesen na Rudiger hao watatu itabidi wasubiri aidha Zouma au Silva wapate majeruhi au corona
Haiko hivyo Zouma na Silva watakuwa wanapumzishwa kwa mechi ambazo sio mchomo ili kuwapa nafasi kucheza mechi nzito. So hao watatu watapata nafasi tu. Cha msingi mazoezini waoneshe viwango.

Kumpeleka Ross Barkley na kumuachia Willian ni mambo bado sijayaelewa. RLC sawa hope atarudi kuwa moto.

Batshuayi game ilikataa. Tammy naona yuko kwenye form sasa. All in all ushindani utakuwa mkubwa kwenye timu.

Off point; Ni nani alimshauri Emerson aweke dawa sijui rangi kwenye nywele. Amekuwa kama kibabu nanihii!
 
Mkuu Willian alikua hastahili kucheza Chelsea, ni moja kati ya wachezaji nimefurahi mno kuondoka kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom