Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard hana mpango wa kuwatumia akina Rudiger Alonso, Moses, RLC, DrinkWater
Kinyume chake Lampard adai ana mpango na Odoi na hivyo Bayern Munich wamekata tamaa kumfuatilia Odoi
 
Sasa humu kuna amani bado asernal tuuu
Wameshaanza kuogopa, fujo zao zimepungua sana. Ligi inavyozidi kusonga mbele huwa kawaida Arsenal wanakuwa na adabu.
Wahenga walisema
"Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji"
Arsenal kwa sasa wanatia maji ...
 
Lampard hana mpango wa kuwatumia akina Rudiger Alonso, Moses, RLC, DrinkWater
Kinyume chake Lampard adai ana mpango na Odoi na hivyo Bayern Munich wamekata tamaa kumfuatilia Odoi
Tetesi za usajili zinasemaje? Je unaona dalili zozote za Chelsea kusajili.
 
Haya Leteni Gorginho

Hapa

Ceballos Gorginho Partey

Ili tukikutana tuwapige 7-2[emoji23][emoji23]
 
Wameshaanza kuogopa, fujo zao zimepungua sana. Ligi inavyozidi kusonga mbele huwa kawaida Arsenal wanakuwa na adabu.
Wahenga walisema
"Mwenzako akinyolewa, wewe tia maji"
Arsenal kwa sasa wanatia maji ...
Labda Arsenal Tula,Sisi Arsenal ya Mikel kifua mbele mwanzo mwisho
 
Mkuu unata tusajili mchezaji gani tena? Bakayoko kaenda Napoli kwa mkopo.
Mkuu, nasubiri dirisha lifungwe nithibitishe kama wewe unajua mpira au ni mpiga ramli tu mwenye unazi uliotukuka kwa kauli yako uliyoileta kule Gunners [emoji1]
 
Labda Arsenal Tula,Sisi Arsenal ya Mikel kifua mbele mwanzo mwisho
Sasa ivi akili zinaanza kuwakaa sawa sasa. Fujo mmepunguza japo bado zipozipo na hii ni baada ya hivi vipigo heavy vya majirani zetu.

Sasa ili mnyamaze mnatakiwa mpigwe za kutosha sana
 
Ili sisi tukae kimya timu yako inabidi ifanye vizuri, otherwise sisi bado wa moto, hatupoi[emoji3][emoji3]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
FB_IMG_1601918059565.jpeg
 
Sasa ivi akili zinaanza kuwakaa sawa sasa. Fujo mmepunguza japo bado zipozipo na hii ni baada ya hivi vipigo heavy vya majirani zetu.

Sasa ili mnyamaze mnatakiwa mpigwe za kutosha sana
Kufungwa kwa hao wengine ,sisi inatuhusu nini?

Msiposhinda tutakuja hapa kuweka kambi kama nyie mnavyokuja kwetu

Wiki hii ni nzuri kwa Arsenal na Chelsea ,ndio maana unaona kama kimya

Sasa tuache kweli kuwasumbua Man6 na 7iverpool ,

Wewe siuna beki Zouma na Thiago babu. ,kipa Unga Unga Mwana [emoji23][emoji23]
 
Kipa uyo unga unga mwana tayari ana clean sheet mechi ya kwanza EPL
 
Cleansheet kwa palace ambao hawakupiga hata On target moja langoni?

Subiri akutane na Wahuni wanatuma Bunduki , matakuja kumkataa hapa hapa

Hamchelewagi nyie , Tulibishana sana hapa kuhusu Kepa ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom