Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hiv ndio anafanya kocha wa ufaransaMashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hili