Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari wakuu. Ivi Zerych na Pulisic wanarudi lini kikosini mwenye taarifa za ndani ndani alete tafadhali
 
Mashabiki wengi wa chelsea tunataka kuwaona ziyech na pulisic haraka tunasahau kuwa tukisema tuwawahishe kucheza ndio yale kama ya ngolo yaliyomtokea msim uliopita kisa kumuwaisha kucheza fainal ya ueropa mwisho wa siku unakuta kila baada ya game 3-5 mtu unaskia injury

Tusubur probability yao kuwaanza kuwaona ni baada ya international break
 
Liverpool vs Arse = 3-1
Kwa mchezo walioucheza Liverpool, hakuna wa kumnyang'anya ubingwa mwaka huu
Kwa mchezo waliouonyesha Man City jana, bado hawezi kuwa title contender
Ligi ya mwaka huu itakuwa ngumu kuliko ya mwaka jana
Top 4 itakuwa ngumu kuliko ubingwa mwaka huu
Hata nafasi za Europa itakuwa ngumu kuliko mwaka jana
 
Chelsea want to signing Phil Jones on permanent deal @fabrizio Romano
 
Lampard amshushia hasira Alonso akiwa dressing room baada ya kutoroka uwanjani badala ya kuangalia mechi akiwa benchi
Kwa vita hii, alonso kuichezea Chelsea ndio kwisha kabisa hata Carabao sidhani kama atapewa

Frank Lampard 'gave Marcos Alonso a furious dressing down in front of a stunned Chelsea squad after the Spaniard went back on the team coach after being subbed at half-time' in their 3-3 draw at West Brom
  • Marcos Alonso was substituted at the interval as Chelsea drew 3-3 at West Brom
  • The defender was reportedly savaged by coach Frank Lampard after the match
  • Lampard is said to have been furious that Alonso tried to return to the team bus
  • Alonso returned to the stands in the second half after being at fault for two goals
Frank Lampard 'berated Marcos Alonso in front of squad' after WBA draw
 
Waelewane tu ili kuleta hali ya hewa nzuri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo....hatutaki mambo ya migomo baridi na virusi
 
Wenzetu wanasajili na mchezaj anaingia uwanjan mapema na anaonyesha mafanikio, lkn hali n tofaut Chelsea mana ety n lzm mchezaj afanye mazoezi ndipo aanze kucheza rasmi..
Kwel Chelsea tumepigwa kuanzia kocha ad wasaidiz
 
Silva aomba msamaha kwa mashabiki kuhus kosa alilofanya na kusababisha goli la pili. Ameahidi kuwa mashabiki watauona ubora wake kwenye mechi za mbele na kwamba makosa makosa hazitajirudia tena
1601328326394.png
 
Wenzetu wanasajili na mchezaj anaingia uwanjan mapema na anaonyesha mafanikio, lkn hali n tofaut Chelsea mana ety n lzm mchezaj afanye mazoezi ndipo aanze kucheza rasmi..
Kwel Chelsea tumepigwa kuanzia kocha ad wasaidiz
Toa mfano wacha kuropoka
 
Jota katoka EPL sio ligi ya nje
Thiago Alcantara Liverpool walimrisk kuwahi kucheza sasa anasumbuliwa na fitness issue, Klopp mwenyewe kasema

Jürgen Klopp has explained Thiago Alcantara is likely to be sidelined until after the forthcoming international break.

The No.6 was ruled out of Monday night’s Premier League meeting with Arsenal due to a minor fitness issue.

Haya ni mambo ya kitaalamu na inahusisha wataalamu wengi msipende kuingilia fani isiyo yenu

Chilwell wa Chelsea alinunuliwa akiwa na injury na alihitaji kupona na kupata fitness
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom