OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ni vizuri mkivuna point 3 lakini kikosi chenu kama kinakosa ile ladha ya mwanzo ya kuona kabisa movement ya goli. Ngoja sisi kikosi kikae njema, mtaelewa tu.Hata msimu ulopita maneno ni hayahaya... mwenzio kila mechi nimevuna points 3. We baki na maneno...


