nasemakweli
Member
- Nov 29, 2018
- 50
- 74
We kweli arsenyeto kk...kwahyo kai alitolewa kwasababu alitia aibu game y liver au tulihitaji ingizo LA defender baada ya ile red card? Mbona comrade kipepe hatujamuona akifunga kwenye game rahis za msimu uliopita...?Nicolas Pepe.
Huu ni msimu wake wa Pili.
Msimu wake wa kwanza amekua involved katika magoli 18.
Anamzidi Torres.
Hayo magoli ni ya Europa na kwenye ligi.
Kai kaifunga kirahisi Barnsleykwa Brighton alitia aibu na kwa Liva akatia aibu akatolewa. Kepa roho ikamuuma akacompensate kwa kutoa assisst.
Hahaha huu usajili ni kwaajili ya Arsenal kumbe?Sasa asenane mjipangeView attachment 1579118
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Majibu mnayapata sasa mnaanza kuongea wenyewe na mtajijibu wenyewe. Havertz mumponde wenyewe leo mnaanza kusema sisi ndio wapondaji. Tumecheza mechi mnaanza kuita timu ndogo nikauliza hata kama ni timu ndogo si wote wanacheza mpira maana mlivyoongea ni kama wale Barnsley hawakua kwenye field yao labda wao ni wacheza golf ndio maana tumewafunga 6Wengine walijifungia ndani.
Wengine walikua wanatukana kocha.
Wengine wakasema Havertz anarukaruka.
Sasa wameshinda.
Wote wameibuka.
Kuna mmoja anauliza kama Barnsley wanacheza golf... Hahaha sasa Simba ikicheza na KwaKopa FC ikawafunga halafu wakishangilia utawachukuliaje Simba?



MmepigwaBila shaka Chelsea naamini hatujapigwa kwa mendy
Yaan unatutishia kipa mwafrika EPL ?Sasa asenane mjipangeView attachment 1579118
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app





Majina yamekudanganya hapo. Regular starter wetu ni Azpilicueta napo ni mechi ya kwanza toka injury, Kovacic, Tammy na Mount. Kante, Werner na Christensen hawakuwepo kwenye squad.Arteta alisema ataichukulia hii game serious hatodharau hiki kikombe maajabu yake katika kikosi akamuanzisha Luiz aliyetoka majeruhi, akarisk kwa kumuweka kipa pekee stable tuliyenaye Arsenal.
Willock akapata namba. Nketiah akaanza.
Kwenye benchi la sub Aubameyang hakuepo, Gabriel hakuepo, Tierney hakuepo, Ozil hakuepo, Guendouz hakuepo.
Halafu anaenda kucheza na Leicester.
Hahaha Chelsea anacheza na Barnsley akapanga kikosi hichi.
1: Caballero
2: Azpilicueta
3: Tomori
4: Thiago Silva
5: Emerson
6: Kovacic
7: Barkley
8: Mount
9: Havertz
10: Hudson Odoi
11: Tammy
Subs;
Baxter, Zouma, Chillwell, James, Jorginho, Giroud.
Naomba mumuulize Arteta yeye na Lampard nani yupo Serious.
Waganga wa kienyeji mchwara utawajua tuu 🤔🤔🤔Mmepigwa
Ni swala la muda tutakuja hapa kuwaeleza kama ilivyokuwa kwa kepa ,
Uliona lini ndan ya miaka 10 kipa muafrika EPL tena big 6?
Kipa wa mwisho aliyesumbua na ni muafrika alikuwaga Liverpool miaka hiyo
Mtakuja hapa kulalamika mrudi tena sokoni kusaka kipa
Ndio maana hata jana Comrade Kipepe alianza first eleven yenuMchezaji ambaye amenunuliwa kwa pesa kubwa akifika na kutoiishi gharama aliyonunuliwa katika ligi hua anawekwa kwenye games za makombe kama Carabao hivi ili kujaribu kurudisha confidence yake.
Mchezaji wa gharama ya juu kabisa katika new signings zako ana succesful passes chache kuliko assissts za Harry Kane huyo anastahili kuwemo kwenye kikosi kinachocheza Carabao.
Swali ni je? Akishapiga hat trick anastahili hype ya kiwango hichi? Tena against Burnsley?
Na ukumbuke kwamba Harry Kane ni ST. So hii new signing kulingana na position yake alitakiwa awe anamzidi ST kwa assisst.


Tatizo hata Rennes huifatilii ,zaidi hapo umemuangalia YouTubeWaganga wa kienyeji mchwara utawajua tuu![]()



Haka kashkaji kameamua kuandika matusi.We kweli arsenyeto kk...kwahyo kai alitolewa kwasababu alitia aibu game y liver au tulihitaji ingizo LA defender baada ya ile red card? Mbona comrade kipepe hatujamuona akifunga kwenye game rahis za msimu uliopita...?
Tangu msimu uanze hii ni game ya pili. So judging ya anayeanza na asiyeanza tunaifanyia kwa previous season.Majina yamekudanganya hapo. Regular starter wetu ni Azpilicueta napo ni mechi ya kwanza toka injury, Kovacic, Tammy na Mount. Kante, Werner na Christensen hawakuwepo kwenye squad.
Hapo Ziyech, Pulisic Gilmour hawajarudi. Ndugu kama majina yameanza kukupa wenge ivi wakirudi miamba wenyewe si mtabaki midomo wazi. Hapo ndio mnaanza kuelewa maana squad depth. Ngoja timu iendelee kuelewana.
😁😁😁 huyu Pepe kashascore dhidi ya timu ngumu. Kaassisst, katoa key passes. Kazi ni kwenuNdio maana hata jana Comrade Kipepe alianza first eleven yenu![]()
Wamesajiri Kakolanya kutoka Renneshuyu Pepe kashascore dhidi ya timu ngumu. Kaassisst, katoa key passes. Kazi ni kwenu
Nasikia mna kipa mpya