Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwahyo wewe unaona kulikuwa hamna haja ya kusajili....!? Na kikosi kile cha msimu uliopita.....mbona mnajudge ndo kwanza game ya 2 na si game ya 38 mshaanza kutoa lawama....kikosi cha Leo sajili zote zimecheza?
Kocha yule mwepes sana LAMPARD HAJUI ANACHOKIFANYA YULE ANAJIFANYA DAZ NUNDA MGUMU WAKATI TIMU YKE MBOVU KAI NYORO NYORO SANAA EPL YULE ANAKUWA KAM MUSONDA
 
Trh 26 kama pulisic, ben na ziyech wakiwa bado ni majeruhi bc madaktari nao tumepigwa, injury gn hizo zisizopona.!

Kuna jamaa hapa kitaa jana aligogwa na ndege lkn leo yupo mzima nkachek nae mpira, sa iweje hao washindwe kama sio nao tumepigwa.!
Inadepend na injury aliyopata mchezaji

Wiki ijayo tutegemee kumuona ziyech na silva kwanza

Ziyech nimesoma kwa fpl anategemewa kurudi tar 26
 
Inadepend na injury aliyopata mchezaji

Wiki ijayo tutegemee kumuona ziyech na silva kwanza

Ziyech nimesoma kwa fpl anategemewa kurudi tar 26
Mkuu, pale Chelsea watu wote kasoro pulisic na mmiliki wa Chelsea tumepigwa kuanzia mashabiki, wachezaji, madaktari, wafagia uwanja tumepigwa, naamini ziyech hatujapigwa.
 
Mkuu, pale Chelsea watu wote kasoro pulisic na mmiliki wa Chelsea tumepigwa kuanzia mashabiki, wachezaji, madaktari, wafagia uwanja tumepigwa, naamini ziyech hatujapigwa.
Tusubir ndio kwanza tuko gw2 bado kuna gw36 zimesalia.

Tusubir tuone muunganiko wa werner,pulisic, ziyech na kai baada ya mechi 10 ndio taswira itaanza kuonekana hivi sasa ni too early kusema hivyo

Stil naimani na super frank
 
Sisi ARSENAL wanaume wa shoka, Tunasema mje mjifunze kwetu jinsi ya kuchinja Jogoo . Kama tulivyowabatua Fainali F.A na tukalibatua Jogoo Community shield, basi Mkuje muone WANAUME WA SHOKA jinsi tutakavyompa mabusu motomoto Jogoo.....
 
poleni kwa kichapo. Kuna mdau wenu mmoja hivi ana maneno mengi kama mzaramo wa msanga anajiita Ollachuga Oc naomba mumfikishie salam zangu toka kule jukwaa la machampion wa epl.

Alikula kiapo kwamba hatakanyaga tena ile mitaa ya kops kama atapata kipigo leo.

Muwe na usiku mwwma. October 28 msisahau kwenda kupiga kura kwa wingi na kumpa Lissu kura za ndio.
UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU
 
Hivi kati ya refa na wewe nani ni mpuuzi?? Tena huenda upuuzi wako ni wa kiwango cha Lami
Me nashangaa Sana.. Kuna Wa2 Sijui mpr wanauangalia vp.. Ww ukacheze rugby vile..hutegemee refa atakuacha na ni M2 wa mwsh.. Aliye pewa Kadi ametoka kiroho safi..m2 analeta mjadala eti kaonewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom