Lampard simpendi namchukia kinyamaLampard ni takataka iliyo oza
Kipa alitoka alikua anaweza kuokoa ilikua ni yellow na foul siyo red mzee.Ulitakaje kwa mfano anapochezewa Faulo mshambuliaji wa mwisho?
Kwahyo wewe unaona kulikuwa hamna haja ya kusajili....!? Na kikosi kile cha msimu uliopita.....mbona mnajudge ndo kwanza game ya 2 na si game ya 38 mshaanza kutoa lawama....kikosi cha Leo sajili zote zimecheza?Alisema Klopp kwamba kufanya mausajili mengi haimaanishi ndo kushinda ndani ya pitch. Bali ni kufaulu kutengeneza maelewano kwenye mazoezi na uwanjani.
Wew jamaa unashabikia timu gani?[emoji3][emoji3]Mshakaliaa viwilii huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]FL alikuwa anasajili sim card
Umeongea bro sema kuna watu huwa wanazingua mtu mzima lkn anajitoa akiliKwahyo wewe unaona kulikuwa hamna haja ya kusajili....!? Na kikosi kile cha msimu uliopita.....mbona mnajudge ndo kwanza game ya 2 na si game ya 38 mshaanza kutoa lawama....kikosi cha Leo sajili zote zimecheza?