Wanapoteza adi akina Ronaldo na Mesi lakini bado wanabaki kitu, ila akipoteza Werner amna kitu. The looser utawajua tu.Timo hakuna kitu pale
Sasa unataka kubisha sio red card?kama sio pumba ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeme umeme umewakaaaaMkuu nakuheshimu. Nilishawahi kuja jukwaa lenu ulinitukana bila sababu nikakupotezea. Naona unazidi kunifata.
Kama unapenda ustaarabu naomba tujadili mambo kama watu wazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuona wa maana kama ungeniuliza sababu ila nawewe ni wapuuzi wengine wa bongo.Hivi kati ya refa na wewe nani ni mpuuzi?? Tena huenda upuuzi wako ni wa kiwango cha Lami
Huon kama kipa alikua keshafika kuokoa? Ilikua ni foul ya kawaida siyo red cardHuoni kama amemchezea rafu Mane akiwa mtu wa mwisho? Unadhani angemwacha si ingekuwa 1-0? Na Refa hana kosa ni VAR ndio imeona
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Red card ile Mane alikuwa mtu wa mwisho,asinge mshika tungekuwa tunahesabu,ila sio mbaya kuna kama matatu yapo njiani....Huon kama kipa alikua keshafika kuokoa? Ilikua ni foul ya kawaida siyo red card
Sent using Jamii Forums mobile app
Kepa mbwiga sanaKazi imeanza tuna hesabu Maneeeeeeeeeeee...........
Nlisema na yametimia Mamamanina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] plus Kepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo lazima mpigwe kuanzia goli 2 na kuendelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahahahahahAsante Kepa bado Zouma nae achomeshe la tatu.................
Kepa...Natarajia upinzani.
Nina imani na kikosi chenu kasoro Beki na Kepa. Inabidi muwe kama Leeds, mnapigwa na nyinyi mnapiga sana.
Mkizubaa mnakufa