joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Tulia wewe leo hutoki humu.Funga bakuli zumbukuku
Tulia wewe leo hutoki humu.Funga bakuli zumbukuku
Red card clear kabisa ile ,mtu wa mwisho ,kampiga robaSema sijui kwa nini Chris kapewa kadi nyekundu. Hawa marefa wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongea pumbaSema sijui kwa nini Chris kapewa kadi nyekundu. Hawa marefa wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudiger hayupo leoRed card Christensen. Ondoa mshambuliaji weka Rudger tupaki basi mpaka mwisho, tutafute draw.
Hivi kati ya refa na wewe nani ni mpuuzi?? Tena huenda upuuzi wako ni wa kiwango cha LamiSema sijui kwa nini Chris kapewa kadi nyekundu. Hawa marefa wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo alipoondoka walikejeli wakati wamebaki na mapambo tu huko nyumboKiboko ya forward three ya liver ni Luiz pekee labda mngemcheki aje awape tafu emirates sio mbali na darajani kipindi hiki cha mapumziko atakuwa ashafika
Dah jamaa nimeshangaa sana alivyo uliza hilo swali sijui ndio ushabikiRed card clear kabisa ile ,mtu wa mwisho ,kampiga roba
Huoni kama amemchezea rafu Mane akiwa mtu wa mwisho? Unadhani angemwacha si ingekuwa 1-0? Na Refa hana kosa ni VAR ndio imeonaSema sijui kwa nini Chris kapewa kadi nyekundu. Hawa marefa wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huuu red card nying sana almost kila game ni red card au penaltSema sijui kwa nini Chris kapewa kadi nyekundu. Hawa marefa wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuheshimu. Nilishawahi kuja jukwaa lenu ulinitukana bila sababu nikakupotezea. Naona unazidi kunifata.Acha kuongea pumba