Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kubwa jinga moja limekufa jana, leo tunaenda kulishuhudia jinga lingine likipandwa na Majogoo!
 
Kwani kipindi Cha drogba ilikuwa alikuwa anaondoka na mabeki wawaili wa Kati alafu anacha mwanya kwa wakina malouda kalou na Lampard kufunga au kile kipindi Cha Diego costa
Embu chelsea wenzangu tuache masihara,, mnataka tucheze na watu wasiokaba zaidi ya wanne kwenye mechi zidi ya bingwa mtetezi..

Tukifanya ivo tutapigwa hadi tujute kwakweli..
Liverpool from pressing, passing, counter, set pieces kote yuko vizuri ni lazima timu icheze kwa tahadhari..

N:B, usiifananishe chelsea hii na chelsea ya kina drogba (ile ilijaa classic player karibia position zote uwanjani)
 
Kwahiyo uungi mkono Werner kucheza left wing na Giroud kucheza central forward?
 
Jana mlikuja kuwasapoti Westham

Na sisi sio vibaya tunaomba Liverpool Leo ashinde 5 kama za mwez uliopita
Sisi hatuna tatizo nyie kumsapoti nani. Hata tukibaki wenyewe tunaishi safi tu hakuna wa kubughudhi furaha yetu. Ila nyie mnakuja kuumbuka siyo muda jinsi mnavyotuombea tupoteze unashangaa nyie ndio mnaanza kupoteana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi chelsea ila leo tutapigwa goli 5 sio siri.. [emoji23] [emoji23]

Msije sema sikusema
 
LIVCHE SQUAD
1600599530528.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom