ignatus peter
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 365
- 519
Second Goal
Na Komredi Ki_PEPE
TakatakaIpo siku mtanielewa na kuamini ninacho sema. Huyu LAMPARD ni tatizo kubwa kwenye klabu yetu. Tunashukuru kuwa amekuwa na ushawishi mpaka kusajili wachezaji wazuri. Lakini kwenye suala la ukocha hatufai kabisa, Lampard hafai kuifundisha Chelsea.
Ni upuuzi na kukosa kuwaheshimu wapinzani kwa kupanga kikosi cha namna ile, mpaka leo eti Lampard hajajua namna ya kupanga kikosi. 4-2-2-2 ndio nn mbele ya liverkuku
Acha kufananisha PEPE na vitu vya ajabu ajabuNa Komredi Ki_PEPE
Usiasirike.Striking force yetu inamuhitaji mtu matured sana. Kuwachezesha kwenye kikosi kimoja Mount na Havertz inaweza kuleta shida kupata matokeo. Hii game inamuhitaji sana Giroud then Mount au Havertz mmoja acheze namba 10. Then mbele yao wakae Werner na Giroud.
Lakini Lampard anajua mipango yake. Best wishes the blues [emoji838][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuweke ushabiki wa kipuuzi pembeni, kwa Timo tumepigwa