Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi kuna anayejua kama Chelsea walimuuza Tariq Lamptey na buy back clause?
Mimi namuona Lamptey anafaa sana RB kuliko hata Azpi na Reece
Kule Brighton anakiwasha ile mbaya
Yaani huyu dogo analeta matatizo kwenye defense ya Newcastle
Anakaba na anapanda kama umeme
 
Aliuzwa kwa sababu alihitaji yeye mwenyewe kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natarajia upinzani.

Nina imani na kikosi chenu kasoro Beki na Kepa. Inabidi muwe kama Leeds, mnapigwa na nyinyi mnapiga sana.

Mkizubaa mnakufa
 
Hivi kuna anayejua kama Chelsea walimuuza Tariq Lamptey na buy back clause?
Mimi namuona Lamptey anafaa sana RB kuliko hata Azpi na Reece
Kule Brighton anakiwasha ile mbaya
Yaani huyu dogo analeta matatizo kwenye defense ya Newcastle
Anakaba na anapanda kama umeme
Mkataba wake hauna hicho kipengele.
 
Attachments

  • Screenshot_20200920-171615.jpg
    Screenshot_20200920-171615.jpg
    119.1 KB · Views: 6
Ipo siku mtanielewa na kuamini ninacho sema. Huyu LAMPARD ni tatizo kubwa kwenye klabu yetu. Tunashukuru kuwa amekuwa na ushawishi mpaka kusajili wachezaji wazuri. Lakini kwenye suala la ukocha hatufai kabisa, Lampard hafai kuifundisha Chelsea.

Ni upuuzi na kukosa kuwaheshimu wapinzani kwa kupanga kikosi cha namna ile, mpaka leo eti Lampard hajajua namna ya kupanga kikosi. 4-2-2-2 ndio nn mbele ya liverkuku
Mfumo ni 4-3-3 mkuu,hata hivyo binafsi yangu nilitegemea upande wa kushoto atakuwepo azpi ila kamuweka alonso tumuache kocha ndo anaetrain na wachezaji huenda kuna sehemu kafanya marekebisho
 
Nilitarajia lampard atakuja na mfumo wa 4-2-3-1 tuwe na kai katikati ila kocha kaja na mfumo wake mwingine,hope ana kitu alichokifanyia marekebisho naamini kabisa akiikata liverpool katikati chelsea anashinda hii game mapema ikizingatiwa liverpool kiungo hakijakaa sawa,lakini udhaifu tulionao na kutokuwa na mchezaji wa kulazimisha kuingia kariba ya pulisic ni afadhali tungeanza na odoi pembeni
 
Kwa mfumo wa 4-3-3 huyo alonso na hiyo back line yetu aisee kazi tunayo...dah lakini ndo timu yetu tuliyoichagua
 
Nilitarajia lampard atakuja na mfumo wa 4-2-3-1 tuwe na kai katikati ila kocha kaja na mfumo wake mwingine,hope ana kitu alichokifanyia marekebisho naamini kabisa akiikata liverpool katikati chelsea anashinda hii game mapema ikizingatiwa liverpool kiungo hakijakaa sawa,lakini udhaifu tulionao na kutokuwa na mchezaji wa kulazimisha kuingia kariba ya pulisic ni afadhali tungeanza na odoi pembeni
Kuna kitu kinaonekana hakipo sawa kwa odoi especially kwenye training . Ndio inayomfanya lamps aendelee kumuweka bench odoi
 
Hivi unamjua Lampard ww, akili zake anazijua mwenyewe. Vile ataamka anawaza ndio vile atapanga kikosi. Alafu ushike katikati huku kante umemuweka pembeni
Kikosi kinapangwa base na opponent tunayekutana nae na jinsi wachezaji wanaojituma mazoezini
 
Striking force yetu inamuhitaji mtu matured sana. Kuwachezesha kwenye kikosi kimoja Mount na Havertz inaweza kuleta shida kupata matokeo. Hii game inamuhitaji sana Giroud then Mount au Havertz mmoja acheze namba 10. Then mbele yao wakae Werner na Giroud.

Lakini Lampard anajua mipango yake. Best wishes the blues

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom