Hufai kabisa kwenda vitani,askari gani unayekata tamaa mapema kiasi hicho.Wanachelsea wenzangu naona kama bado hatuna timu ya kuweza kushindania ubingwa bali tuna timu ya kupunguza gap la point 33 kwenda labda kwenye point 10-15, Pia ninaamini tukiweza kuwaondoa akina barkley, jourginho, alonso, emerson na wanaofanana na hao na tukiweza pia kuwafanya akina Mount, Odoi, Zouma, Christensen, Kepa kuwa SUB halafu tukaweza kusajili CB wawili, DM mmoja na Kipa world class hata kama Mendy atasajiliwa, basi baada ya hapo tunaweza kushindania ubingwa wa epl au uefa
sasa atang'ang'ania kwenda vitani na silaha ambazo hajui kuzitumia?



