Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Chelsea ni mtoto wa kambo pale london,ni ndugu zetu tunawapenda ila tukikutana lazima tuwagongeWanaifuatilia Chelsea kinoma...sisi hatuna haja na arse8 yao

#Coyg

Chelsea ni mtoto wa kambo pale london,ni ndugu zetu tunawapenda ila tukikutana lazima tuwagongeWanaifuatilia Chelsea kinoma...sisi hatuna haja na arse8 yao



😎😎😎😎😎Wewe huna maajabu![]()
Babu sari angekuwa bado yupo juve sahiv tungekuwa tushamsahauHawa Liverpool wamempata Thiago ..sisi bado tuna Jogihno dah



Race anakuja kweliBabu sari angekuwa bado yupo juve sahiv tungekuwa tushamsahau![]()
Kikosi dhidi ya Liverpool
-Giroud-
Werner-Havertz-Odoi
Kova-Kante
Azpilicueta-Zouma-Christensen-James
-Kepa-
Naona ni bora wasianze pamoja Havert na Mount kutokana na wote kujikuta wanaingiliana majukumu. Halafu pia jukumu la ukabaji akiwepo Kova akisaidiana na Kante inaweza saidia punguza pressure ya mashambulizi ya kina Salah. Liver wanakawaida ya kuanzia mashambulizi kutokea pembeni hasa kwa fullback wao TAA na Robertson kitu ambacho Azpi na James wanaweza kudhibiti. Kwa hiyo ni bora sisi tushike kiungo kwa maana ya mwanzo wa sisi kushambulia tucheze kati huku fullback wakizubaishana nasema ivyo kwa saba midfield ya sasa ya Liver ni kama sponge tu hawawezi kutuzidi kama tutaamua kuwakamata. Wijnaldum anaiwaza Barca, Alcantara hawezi cheza hii mechi, Chamberlain majeruhi, waliobaki hapo labda Keita lakini Fabinho atabaki kuishangaa ile price tag €80.00m ikifanya yake
Liver wanakaa kama Lampard atafanikiwa kudhibiti wings na Fullback kupanda panda. Otherwise hakuna rangi tutaacha kuona
Arsenal ni Takataka tu....ila mkuu mnachekesha kweli kwenye Uzi wenu eti mnasema kabisa mwaka huu arsenal bingwa..Chelsea ni mtoto wa kambo pale london,ni ndugu zetu tunawapenda ila tukikutana lazima tuwagonge
#Coyg![]()
Sawa karavatiArsenal ni Takataka tu....ila mkuu mnachekesha kweli kwenye Uzi wenu eti mnasema kabisa mwaka huu arsenal bingwa..
Kwa akili ya Lampard Ni ngumu kumuacha mtoto wake mpendwa mount bench
Akimuweka hata winga ya kulia poa 2 ...si tunachotaka havertz acheze nyuma y mshambuliaji...n Werner atokee kushotoKwa akili ya Lampard Ni ngumu kumuacha mtoto wake mpendwa mount bench




Ni ngumu Sana kwa akili ya Lampard kumpanga Giroud mbele na Werner amchezeshe kushoto zaidi atakujazia midfielders wengi na Werner atampanga centre forward.Akimuweka hata winga ya kulia poa 2 ...si tunachotaka havertz acheze nyuma y mshambuliaji...n Werner atokee kushoto
Kwa nin unasema ivo na wakati ndo kwanza tumecheza mechi moja? Werner anafit kotekote kati ya striker na RW. So kuongeza ufanisi kwenye ushambuliaji anaweza kumpanga Giroud kama striker then Werner akacheza pembeni.Ni ngumu Sana kwa akili ya Lampard kumpanga Giroud mbele na Werner amchezeshe kushoto zaidi atakujazia midfielders wengi na Werner atampanga centre forward.
Hata kama atacheza LW siyo mbaya ila naona kuwaweka pamoja ma CAM halafu wadogo(maturity) inaleta mkanganyiko kati yao. Bora akae Odoi ambaye hata game ya mwisho alileta effect. Au anaweza kumuanzisha Mount then baadae Havertz akaingia kama sub ya Mount.Kwa akili ya Lampard Ni ngumu kumuacha mtoto wake mpendwa mount bench
Mashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hiliKwa nin unasema ivo na wakati ndo kwanza tumecheza mechi moja? Werner anafit kotekote kati ya striker na RW. So kuongeza ufanisi kwenye ushambuliaji anaweza kumpanga Giroud kama striker then Werner akacheza pembeni.
Siyo kwamba maono ya Lampard ni makubwa kuliko unachofikiri wewe ni rahisi kufanyika. Kwa sababu unaposema kuwazubaisha mabeki kwa mbinu hiyo ni kazi kwa sababu hakuna timu ita concentrate kumkaba mchezaji mmoja then impuuzie mwingine. Kinachoangaliwa hapa ni ufanisi kwenye ushambuliaji wakiwa wote wawili.Mashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hili
Kwani kipindi Cha drogba ilikuwa alikuwa anaondoka na mabeki wawaili wa Kati alafu anacha mwanya kwa wakina malouda kalou na Lampard kufunga au kile kipindi Cha Diego costaSiyo kwamba maono ya Lampard ni makubwa kuliko unachofikiri wewe ni rahisi kufanyika. Kwa sababu unaposema kuwazubaisha mabeki kwa mbinu hiyo ni kazi kwa sababu hakuna timu ita concentrate kumkaba mchezaji mmoja then impuuzie mwingine. Kinachoangaliwa hapa ni ufanisi kwenye ushambuliaji wakiwa wote wawili.