Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Striking force yetu inamuhitaji mtu matured sana. Kuwachezesha kwenye kikosi kimoja Mount na Havertz inaweza kuleta shida kupata matokeo. Hii game inamuhitaji sana Giroud then Mount au Havertz mmoja acheze namba 10. Then mbele yao wakae Werner na Giroud.


Lakini Lampard anajua mipango yake. Best wishes the blues

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna Best wishes, Mount ni Uselesa kwenye mechi hii bado hujaja kwa kipa
 
Basi kama ni hivyo tumempoteza RB mzuri ambaye baada ya miaka miwili tutaanzisha bid ya kumnunua kwa paundi mil 80 kama ilivyo kwa Declan Rice
Chelsea timu inayopenda kupokea pesa inawatoa kwa mkopo akina bakayoko inawauza wachrzaji wazur
 
Ipo siku mtanielewa na kuamini ninacho sema. Huyu LAMPARD ni tatizo kubwa kwenye klabu yetu. Tunashukuru kuwa amekuwa na ushawishi mpaka kusajili wachezaji wazuri. Lakini kwenye suala la ukocha hatufai kabisa, Lampard hafai kuifundisha Chelsea.

Ni upuuzi na kukosa kuwaheshimu wapinzani kwa kupanga kikosi cha namna ile, mpaka leo eti Lampard hajajua namna ya kupanga kikosi. 4-2-2-2 ndio nn mbele ya liverkuku
Unatupigia kelele kwenye thread zetu Kumbe fan wa Chelsea,Jiandae kulala bila chupi jioni ya leo Wanaume anafanya yake darajani hapo.
 
Straight red card,hatuchezi mieleka humu.

Nawakumbusha tu beki mnaye mtegemea ni ZOUMA.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani kipindi cha pili uwanja unainama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom