Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu ubao unasomaje hapo?
Najua Roho inawauma sana Chelsea kuwa mbele kwa goli 3
Mmebaki kuficha aibu yenu kupitia Kai🤪🤪🤪.

Je Kai ndiyo anacheza uwanjani mwenyewe? Au ubora wa mchezaji upimwa kwa kufunga magoli?

Je, ninyi wachezaji wenu wanafunga magoli wote wanapocheza?

Acheni shobo kila mmoja apambane na timu yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bora waambie hao wanajifanya matokeo hawayaoni wanajificha
 
Kai Havertz and Mason Mount are not wingers, full stop.

Lampard bado no tatizo ndani ya klabu yetu mpaka leo hajajua namna ya kupanga kikosi.
Kai Lukas Havertz is a German professional footballer who plays as an attacking midfielder or right winger for Premier League club Chelsea and the German national team. Wikipedia
 
Mara nyingi wachezaji wanaomudu nafasi nyingi huwa wanahamishwa hamishwa mara kwa mara na kocha kulingana na uhitaji wa nafasi hizo
Mfano kabla Pulisic hajaanza kucheza vizuri Mount alikuwa akicheza left winger na alicheza vizuri, Pulisic alipopanda form, Mount akawa anachezeshwa kiungo wa kushoto au kulia na mara chache winger wa kulia

Havertz alishakiri mwenyewe kuwa anategemea siku moja atacheza wide winger wa kushoto
Werner alishasema nae anapenda kucheza mpira, mchezaji mshambuliaji akikuambia anataka kucheza mpira maana yake anapenda aidha kucheza kiungo au wide winger no. 10. Kwa maneno haya Timo hapendi kucheza kama striker, sijui kwa nini analazimishwa. Hata uchezaji wake wa leo kama mumemfuatilia alikuwa anacheza mara nyingi katikati ya uwanja , anarudi nyuma kuja kuchuklua mipira tofauti na Tamy au Giroud
Hata Hazard alipoikuwa akihojiwa mara kwa mara alikuwa akisema hivyo hivyo kuwa anapenda kucheza mpira, anapenda kukaa na mpira
Ukiwa striker huwezi kucheza mpira kwa sababu utakuwa unasubiri tu upikiwe
Mimi nashangaa watu wanaongea sana kuwazidi wachezaji wenyewe
 
Leverkusen wamefanya wizi mtakatifu [emoji23][emoji23][emoji23]90 pound
 
Kai harvertz ni Nicolas Pepe mwenye rangi nyeupe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kai karavati anapiga pass kwa linesman [emoji23][emoji23]
 
Mara nyingi wachezaji wanaomudu nafasi nyingi huwa wanahamishwa hamishwa mara kwa mara na kocha kulingana na uhitaji wa nafasi hizo
Mfano kabla Pulisic hajaanza kucheza vizuri Mount alikuwa akicheza left winger na alicheza vizuri, Pulisic alipopanda form, Mount akawa anachezeshwa kiungo wa kushoto au kulia na mara chache winger wa kulia

Havertz alishakiri mwenyewe kuwa anategemea siku moja atacheza wide winger wa kushoto
Werner alishasema nae anapenda kucheza mpira, mchezaji mshambuliaji akikuambia anataka kucheza mpira maana yake anapenda aidha kucheza kiungo au wide winger no. 10. Kwa maneno haya Timo hapendi kucheza kama striker, sijui kwa nini analazimishwa. Hata uchezaji wake wa leo kama mumemfuatilia alikuwa anacheza mara nyingi katikati ya uwanja , anarudi nyuma kuja kuchuklua mipira tofauti na Tamy au Giroud
Hata Hazard alipoikuwa akihojiwa mara kwa mara alikuwa akisema hivyo hivyo kuwa anapenda kucheza mpira, anapenda kukaa na mpira
Ukiwa striker huwezi kucheza mpira kwa sababu utakuwa unasubiri tu upikiwe
Mimi nashangaa watu wanaongea sana kuwazidi wachezaji wenyewe
Basi mzee baba inatosha tu kusema uwasamehe bure maana wakati mwingine ni hisia ndizo huwatuma kuongea hivyo
 
Ilitakiwa leo giroud acheze na Timo Werner nyuma yao awe Kai havertz formation aliyoanza nayo Lampard ilikuwa ya ovyo ndio maana ukuona ubora wa havertz
Tukumbuke kuwa kai kafanya mazoezi na team wiki moja tu,
Itamchukua mda kidogo inabid tuwe wavumilivu

Isitoshe msim huu kulikuwa hakuna pre season ukiitoa ile mechi moja tuliocheza na brighton hatukucheza mechi nyingine t
 
We mama mkwe kumbuka kuna GESTI sasa kama na ww unataka upelekwe huko kama mwanao endelea tu.
Hilo taira la Arsenal linawashwawshwa sana hadi inakulazimu ulijibu hovyo tu hata kama hutaki kujibizana nalo, Naomba mods wawe wanawapatia ban mapunguwani mengine kama hili.
 
Kuna watu humu wanatafuta wanaume wa kuwaoa, sisi tunadhani mashabiki kumbe wako kazini, kelele nyingi akishaibua BUZI anatulia
Mtawatambua kwa maandishi yao
 
Kai Havertz and Mason Mount are not wingers, full stop.

Lampard bado no tatizo ndani ya klabu yetu mpaka leo hajajua namna ya kupanga kikosi.
Kai anaweza cheza position zaid ya moja
Tuache kukariri maisha
Isitoshe leo no ziyech,no pulisic ulitegemea winga moja acheze nani
 
Tukumbuke kuwa kai kafanya mazoezi na team wiki moja tu,
Itamchukua mda kidogo inabid tuwe wavumilivu

Isitoshe msim huu kulikuwa hakuna pre season ukiitoa ile mechi moja tuliocheza na brighton hatukucheza mechi nyingine t
Acha kujipa moyo mmeibiwa pale ..kuna siku mtajasema huu ndiyo msimu wake wa Kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
"A lot of money is alot of problems" Jose Mourinho on Kai harvertz
 
Kikubwa tushukuru tu tumepata pointi 3 muhimu ila ukweli lazima usemwe wachezaji wetu wamecheza hovyo sana. Wasipo badilika game ijayo na liva tutapigwa aisee.

Ila cha muhimu mechi ijayo wachezaji muhimu wote watakuwepo
Hii ni mech ya 1 you cant compare na liver ambae kacheza kama game 3 kwenye pre season na wewe ambae umecheza game 1 tena wachezaj wengine walikuwa hawapo na wengine wamefanya training tu

Tutegemee kuona mabadiliko kadri siku zinavyokwenda ila sio kwa haraka
 
Harvertz is better than Bruno [emoji23][emoji23]compare him to lingard [emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom