Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tungekuwa na Lampard enzi za huyu jamaa tungekuwa nae sasa hivi kwenye squad
1600062222570.png
 
Mchezaji huru wa bure amekwenda kumuweka bechi £72M.
Pumba,
[emoji1787][emoji1787]
Kabla huyo mchezaji wa bure hajaja bado huyo wa 72 alikuwa anaanzia nje,
Vipi kikongwe cha bure cha miaka 38 kuiweka benchi 71m [emoji1787][emoji1787]hii ndio ta kufurahisha na kushangaza zaidi..
 
Akienda Barkley atamuweka benchi Ozil mchezaji anayewanyima Arsenal kusajili kwa sababu anachukua mzigo mikubwa kila wiki
Nyie watoto mnafikiriaga kwa kutumia organ gani? Ozil bench kaanza kukaa leo? Mkivuta bangi msiwe mnaingia JF
 
Oyah, machelesee leo muna cheza, tutegemee nini hapo baadae?
Zile taka taka zenu mulizo sajili zitaleta maajabu yoyote, au ndio mwendo wa kupigwa?

GGMU.
 
Nimependa sana majibu ya Lampard kwenye hii interview na Sky.

Kuhusu academic players amesema hakuwa na mpango wa kuijenga club kupitia acdamic player's Ila aliwatumia kwa sababu hakuwa na option nyingine ya kupata wachezaji baada ya transafer ban

Anasema usajili mkubwa uliofanyika ni kwa maana kubwa ya kuipeleka Chelsea kwenda next level

Kuhusu kuwa na presha kama kocha baada ya hizi sajili. Amejibu kwamba kama kocha kila situation ni presha, msimu ulioisha alikuwa na presha na msimu huu utakuwa na presha, anaifahamu Chelsea na yeye ni shabiki wa Chelsea anajua mashabiki wanataka nini. View attachment 1569515
Majibu ya Klopp, Niliboreka niliposikia anasema hivyo. Maoni yake ya kushangaza, Yeye miaka minne na nusu katumia pesa nyingi leo Chelsea ikitokea kwenye ban ikitumia pesa kuimarisha timu anaita timu inaongozwa na tajiri mmoja kutoka nje, hapo akimponda Roman Abramovich
Hivi wakati wao wanatumia hao matajiri wa Kimarekani hawana say?
 
Hii prediction naweza kuiunga mkono kwa maana kwamba:-

Pulisic:- Apumzike mechi hii ili apone vizuri tatizo lake la misuli ya paja. Ishu ya kulazimisha kucheza na maumivu itatucost zaidi huko mbeleni

Siungi mkono kwa Christensen kucheza mzee wa maboko na mzito. Zouma aanze aendeleze ile form yake nzuri ya kukaba njia na kucheza mipira ya juu.
Yeah man na mi nakuunga mkono kwa hilo...hapo KWA Christensen akae zouma...na uwepo Wa havertz na mount unafanya kikosi kuwa more attacking minded . KTBFFH

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom