OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Kila la kheri Chelsea.
#CFC 💙💙💙
#CFC 💙💙💙
Tuliwaambia hapa mchezaji akitoka Chelsea akienda arsenal ni first eleven wakabisha kiualisia ndio hivyo.Chelsea akisajili watu negativity inkuw kubw kma wao usajili wao ni perfect
Willian kipind yupo Chelsea walkuwa wanamponda san Leo kacheza kwao wanamuon mfalme
Kama Matic alivo Mfalme kwa wale jamaa.Tuliwaambia hapa mchezaji akitoka Chelsea akienda arsenal ni first eleven wakabisha kiualisia ndio hivyo.
Barcelona, alikataa kusaini mkataba mpya baada ya kukosa muda wa kutosha wa kucheza kulingana na historia ya Barcelona ya kutowapa chipukizi nafasi ya kucheza. Chelsea scout walimfuatilia muda mrefu na hatimaye mwezi uliopita ndipo wakapata saini yake. Ni beki mzuri na wachambuzi wengi wa soka wanamfananisha na VVD wa Liverpool kwa ukabaji wake nadhani pia kwa sababu ni mholansi MAY BElembu Xavier muyamba Ni Nani na amesajiliwa kutoka team gani?
Ongeza hata yale makapi kama Luiz, kule kwao ni HOT CAKE. Na hii ndio tofauti ya Arsenal na Chelsea majirani. Wakiambiwa Chelsea ni timu kubwa wanakataa wao wanang'ang'ana na historia iliyokufa. Hata Barkley akitoka huku kule atakuwa zinga la MF kwaoTuliwaambia hapa mchezaji akitoka Chelsea akienda arsenal ni first eleven wakabisha kiualisia ndio hivyo.
Acheni gubu nyie kenge, mume ushamuacha lakini bdo unamwongelea inaonekana bado hamjapta mtu wa kuziba pengoOngeza hata yale makapi kama Luiz, kule kwao ni HOT CAKE. Na hii ndio tofauti ya Arsenal na Chelsea majirani. Wakiambiwa Chelsea ni timu kubwa wanakataa wao wanang'ang'ana na historia iliyokufa. Hata Barkley akitoka huku kule atakuwa zinga la MF kwao
Havertz anaweza anzia bench then Kova akaanza halafu baadae Mount atatoka ndio anaweza kuingia Kai.Mashabiki wa Chelsea 4,200 wamevote hii line up dhidi ya Brighton
View attachment 1568605
Havertz anaweza anzia bench then Kova akaanza halafu baadae Mount atatoka ndio anaweza kuingia Kai.
Ooh sawa[emoji1474]Kova hachezi io mech anaadhabu ya red card fa
So apo either barkrey
Kwetu sye dangaa hilo la nini unatumia tupa kulAhsante Chelsea[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji836][emoji837]View attachment 1568681
Mkuu unataka kusema kuwa PSG pia wamewaachia danga![emoji28][emoji28]Kwetu sye dangaa hilo la nini unatumia tupa kul
Cye ndio maana kapewa mwaka1Mkuu unataka kusema kuwa PSG pia wamewaachia danga![emoji28][emoji28]
Mwaka 1 ndo asiwe danga? kwa mujibu wakoCye ndio maana kapewa mwaka1
Wanasema inabidi kuwe na gap la siku 30 from timu inaaga michuano ya Ulaya mpaka kuanza kwa ligi.Timu nne hazichezi wiki hii ya kwanza Why?
- Man United
- Manchester city
- Aston Villa na
- Burnley