Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kwa leo hongera za dhati darajani..Rev. Masa usikeshe na Invisible toa misamaha ya ban kusherehekea huu ushindi...hata sangria yangu leo haishuki vizuri, mtamtambua Messi huko Catalunya!!

Hahahaa, BJ hii sio Manure ambao wakicheza na Barca wanaweka mkia katikati ya miguu! We're going to fight to the death. Come on you Blues!
KTBFFH.
 
Chezea watanzania siyo watu wa pembe za ndovu wewe.....ha ha ha ha ha ha
 
kwa leo hongera za dhati darajani..Rev. Masa usikeshe na Invisible toa misamaha ya ban kusherehekea huu ushindi...hata sangria yangu leo haishuki vizuri, mtamtambua Messi huko Catalunya!!

Ooooh my gal! Messi was invisible! Come what may Chelsea to final UCL
 
Naona jana sungura kamkaba tembo jitahidini chelsea nawahakikishia mkivuka hapo salama kombe lenu
 
Hilo ndilo tatizo la kwenda uwanjani na matokeo kabla hata ya mechi:Sasa watu wanashangaa eti mende amesukuma kabati!
 
Maajabu mechi ya jana imeisha bila washabiki wengi hapa kuongelea ile tabia ya wachezaji kujiangusha!!! Au jana hakukuwa na kujiangusha jamani???
 
tatizo sio messi tatizo ni uefa official match ndio watakao fanya maamuzi na maamuzi hayo ni vizuri akawaulize milan kilicho wakuta pale camp no loose na utasikia drog in the red au ramiles kadi ya njano ilimradi wakufungeni ili mpate kuwa sema vibaya maana ndivyo walivyo zoea..:car:
Mkuu salama?! Kumbe na wewe unaweza hizi kamba?! Unaonaje kama mchezaji yeyote wa Barça angefanya zile komedi za drogba leo mngekuwa mmekauka makoo kwa lawama na majina ya kila namna, lkn kwa mchezaji wa klabu inayotoka kwa wapiga kelele uingereza, mko kimya tu!!! Hongereni Chel5 kwa ushindi wa jana...tayari mko fainali! Barça hamna kitu kabisa, uongo??!
 
Mkuu punainen-red unajua nini barca wanajua tatizo huwa wanadrogba mpaka basi ndio maana alivyofanya drogba jana iliwauma hilo ndi linawaumiza kichwa kweli wacatalonya..
 
Last edited by a moderator:
i missed this forum...
duh hii wiki is jus too gud for me...i love chelsea!
thanks to di Matteo for bringing back our heroes..Malouda, Mikel, essien, Kalou et al..AVB alikua ameshatufanya tuamini they were gud for nothing...now ndio wanaotusaidia na hili wimbi la mechi nyingi within few days.
na hili nadhani ndilo linalotusaidia..wakijipanga jinsi ya kumtoka drogba anapangwa torres..na bado sturridge anabaki reserve...! this thing really confuses our ooponents...proof of this?? angalia game na arsenal j'mosi...they cant predict our game!!!
 
Mkuu salama?! Kumbe na wewe unaweza hizi kamba?! Unaonaje kama mchezaji yeyote wa Barça angefanya zile komedi za drogba leo mngekuwa mmekauka makoo kwa lawama na majina ya kila namna, lkn kwa mchezaji wa klabu inayotoka kwa wapiga kelele uingereza, mko kimya tu!!! Hongereni Chel5 kwa ushindi wa jana...tayari mko fainali! Barça hamna kitu kabisa, uongo??!
kwani wewe umeanza kuangalia mpira lini...drogba ame copy na ku paste komedi za barca nashangaa unamshangaa drogba...nyinyi wenye vilomolomo mtakuwa ni arsenal au manu(wake wa barcelona maana kila mkikutana nae mnapigwa bao za kutosha)...!
 
How to DEFEAT Barcelona (My 6 points advice to Real Madrid)
1. Get close to them and force them to make errors
2. The keeper and the back four needs to be alert and at its best.
3. Force Barca to shoot from Outside.
4. Take advantage of Aerial weaknesses (corners, crosses and long balls)
5. Target Valdes (the error prone goalkeeper)
6. Keep Dani Alves Behind (Stop him from attacking)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom