haya darajan kwere je camp nou itakuaje?
we gona make itCongrats to Chelsea...they did it.Now lets wait for the return leg at that enormous heck of a stadium.
Chelsea1-0 barca
Chelsea1-0 barca
we gona make it
kwani shida nini mkuu ? bado anaumwa ama nikuogopa kuumia ? maana niyeye peke yake naemwona anavaa hicho kitu.
kwa leo hongera za dhati darajani..Rev. Masa usikeshe na Invisible toa misamaha ya ban kusherehekea huu ushindi...hata sangria yangu leo haishuki vizuri, mtamtambua Messi huko Catalunya!!
normally CHELSEA hawana masihara na vitoto kama barca.