ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
hongereni sana Chelsea hakika mlistahili.
acha unafiki wewe ndio wakwanza kumponda sec leg..
hongereni sana Chelsea hakika mlistahili.
Chelsea1-0 barca
![]()
Pep Guardiola and Roberto Di Matteo looked on as Barca dominated possession in the early exchanges.
Hongereni Pensioners! Jipangeni kwa second leg.
Game ya marudiano itakuwa ngumu sana kwa Chelsea,pamoja na kwamba wameshinda game ya kwanza,siwapi nafasi kubwa ya kushinda game ya marudiano itakayofanyika jumanne ijayo Camp Nou,imani yangu ni kuwa Barcelona atatinga fainali.
Hongereni saaaaaaaaaana mmeweka rekodi ila tunawasubiri April 25 Karibuni saaaana CAMP NOU!!!
Sio 4 tu, mi naziona goal 5 na kuendelea!
Rekodi gani? Hongereni ze bluz