Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kiukwel hatuna kocha, huyu Lampard kila siku nasema hapa hafai kuifundisha Chelsea. Ni nn hichi wamecheza leo, takataka juu ya takataka.
Jamaa unachuki binafsi nilichogundua
Btw hii ni pre season kila player anahitaji kupata nafasi amuoneshe kocha uwezo wake

Huwezi ukafanya sub 1-2 pre season makocha wengi huwa wanawapa hata hao watoto wa academy nafasi ya kuonesha
2nd half sr player walikuwa giroud,cabalero ,azplicueta na rudiger

Unataka kante,werner,kovacic,,alonso,cho,ziyech na etc wacheze dk 90 hii ni pre season huwezi chezesha wachezaji wako kwa dk 90 wakati wako wengine

Na sidhani hata kama game uliangalia
 
Aha kumbe walifanya sub kikosi kizima apo sawa
 
Leo ata siwez mlaumu lampard preseason games huwa cio za kukamian san
But combination ya ziyech na James ikitulia itakua nzr
Jana nilisema kwamba Lampard amepata wachezaji wazuri sana, msimu ujao aboreshe mbinu zake kwa maana kwamba timu isicheze flat dakika 90, abadili mbinu/style ya uchezaji kwendana na mechi inavyobadilika.

Madhara ya kucheza flat ni kama yale ya msimu uliosha timu inaanza kwa kushambulia ikipata goal, inarelax inampa adui muda wa kupumzika, kutusoma, kujipanga, kutushambulia na kutuadhibu.
 
Game yote kuanzia dakika ya kwanza mpaka mwisho nimeangalia. Mm nimesema kocha ndio tatizo na si wachezaji nielewe tafadhali. Huyu Lampard hana mbinu mpya bado ni yuleyule
Jamaa unachuki na lampard na waingereza wote ndio kitu nilichogundua hakuna kingine
Huwezi ukamquestion kocha kwa 1st game ya pre season n game zote za pre season
Ndio team inaweza poteza game zote za pre season na usisikie kitu chochote

Uwezo wa kocha huwa unapimwa kwenye competitive games
Lalamika wakati wa league,ucl ,sio kweny pre season

Wakati wa conte baada ya costa kuondoka batshuayi aliwasha moto kwenye pre season ila league ilivyoanza kila mtu anajua kilichotokea
 
Leo ata siwez mlaumu lampard preseason games huwa cio za kukamian san
But combination ya ziyech na James ikitulia itakua nzr
Pamoja na ya Ziyech na werner

Tusubiri pulisic na havertz warudi the ile comb ya pale mbele[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Jamaa unachuki na lampard na waingereza wote ndio kitu nilichogundua hakuna kingine
Huwezi ukamquestion kocha kwa 1st game ya pre season n game zote za pre season
Ndio team inaweza poteza game zote za pre season na usisikie kitu chochote

Uwezo wa kocha huwa unapimwa kwenye competitive games
Lalamika wakati wa league,ucl ,sio kweny pre season

Wakati wa conte baada ya costa kuondoka batshuayi aliwasha moto kwenye pre season ila league ilivyoanza kila mtu anajua kilichotokea
Hata man u chini ya van gaal kwenye pre season waliwasha Moto haswa waliwafunga Bayern, Barcelona na R.Madrid ila baada ya league kuanza kila mtu anajua kilichotokea.
 
Kinacho tuuma sisi mashabiki wa chelsii frenki kaja tokea mwanzo wa msimu hana hata kombe la kuku[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
IMG_20200829_211816.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamesuluhu na mtoto mdogo na mpira mbovu.

Takataka itabaki kuwa takataka tu!
 
Narudia kauli yangu, Werner ni Morata aliechangamka![emoji23]

Tusubiri msimu uanze, ni kiasi cha muda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom