Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Masikini akipata matter core hulia mbwatter.

Wakuu tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
JamiiForums1136287452.jpg
 
Chelsea net spend since July 2019:

IN: Werner £47.5m, Ziyech £33.6m, Chilwell £50m, Kovačić £40m.

TOTAL: £171m

OUT: Hazard £100m, Morata £58m, Pasalic £14m, Aina £9m, Kalas £8m, Luiz £8m, Hector £5m, Omeruo £5m.

TOTAL: £207m

🟢 𝐍𝐞𝐭 𝐏𝐫𝐨𝐟𝐢𝐭 = £36m
@Chelsea247
Hivi Pulisiki mlisajili mwaka gani vile?


Wowowo fc ni wasahaulifu sana
 
Jamaa unachuki binafsi nilichogundua
Btw hii ni pre season kila player anahitaji kupata nafasi amuoneshe kocha uwezo wake

Huwezi ukafanya sub 1-2 pre season makocha wengi huwa wanawapa hata hao watoto wa academy nafasi ya kuonesha
2nd half sr player walikuwa giroud,cabalero ,azplicueta na rudiger

Unataka kante,werner,kovacic,,alonso,cho,ziyech na etc wacheze dk 90 hii ni pre season huwezi chezesha wachezaji wako kwa dk 90 wakati wako wengine

Na sidhani hata kama game uliangalia
Kwenye preseason huwa hatuangalii sana matokeo ila uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na je kama ataweza kuingia kwenye first team ligi ikianza
Pili preseason ni sawa na yale mazoezi ya Cobham
 
Kuna shabiki mmoja kasema kule twitter hii team imelaaniwa kwa majeruhi baada ya Ziyech kuumia
Hii preseason inaweza kutuletea majeruhi ya kijingajinga tukaanza ligi vibaya tusipokuwa makini
1598758278000.png

1598758307927.png
 
Nilisema Usajili wa winger mwingine lazima ufanyike baada ya willan kuondoka. Hatuwezi kumtegemea Odoi akawa sub ya both Pulisic na Ziyech.

Pulisic ni vulnerable to injuries hawezi cheza mechi 5 mfululizo bila injury, aina yake ya uchezaji kuforce kupenetrate ngome za adui lazima akutane na makwanja, mabuti kutoka kwa mabeki pinzani.

Odoi mwenyewe siku hizi anapata majeraha kirahisi. Sasa itukute odoi, Pulisic wote majeruhi. Mount, Cheek, Barkely watejeuzwa kuwa mawinga butu.

Kubeba ubingwa ni kujipanga na sio kubahatisha. Tusajili replacement ya Pedro.
  1. Werner ni winger mzuri
  2. akija havertz ni winger mzuri
  3. Mount ni winger mzuri
  4. RLC ni winger mzuri
  5. Ziyech
  6. Pulisic
  7. Odoi
  8. Hata Barkley
Kwa vile Chelsea kule mbele kuna flexibility kubwa kwa sasa tofauti na safu yote ya ukabaji kuanzia kwa DM mabeki na kipa ngoja kwanza tuweke nguvu kuimarisha safu ya ukabaji kama nilivyotaja
Kocha awasaidie tu wachezaji kukwepa majeruhi yasiyohitajika
 
Kuna shabiki mmoja kasema kule twitter hii team imelaaniwa kwa majeruhi baada ya Ziyech kuumia
Hii preseason inaweza kutuletea majeruhi ya kijingajinga tukaanza ligi vibaya tusipokuwa makini
View attachment 1552624
View attachment 1552625
Ziyech sishangai kupata injury. Hajacheza mechi ya kimashindano toka March amefanya tu mazoezi ambayo hakuna mikiki kama mechi ya kirafiki au ya kimashindano. Yan ilikua ni lazima angepata majeraha hata kama siyo mechi ya jana.

Kumbuka hata kipindi EPL & LaLiga imerejea baada ya Corona kulikua na majeruhi mengi sana sababu ni hiyo.
 
Mount, Barkely & Cheek ni ATM
Mount alishacheza winga wa kushoto japo mara chache na alifanya vizuri, RLC nae wakati wa Sarri alishacheza winga wa kushoto na kulia
Ross Barkley hawajawahi kucheza winga na pia muda mwingi kacheza kama Kiungo wa kawaida
Nimetumia mtandao wa FootballCritic - Football. Rated. kuthibitisha nilichokuwa nafahamu kuhusu hao wachezaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom