Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Kipindi hicho hata hujui chochote kuhusu mpira. [emoji23][emoji23]Mi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia levelView attachment 1551523
Kipindi hicho hata hujui chochote kuhusu mpira. [emoji23][emoji23]Mi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia levelView attachment 1551523
Kwahiyo unawatumia hao kujitetea[emoji23] man u're lostAston villa na Forest wana Uefa pia,lkn haiwafanyi kutuzidi ukubwaView attachment 1551580
Wewe miaka yote upepo umekushinda kwenye mechi 12?Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]View attachment 1551589
Upepo muhimu, ni km ww unapost JF while Aubameyang anakunja £250kpw [emoji1787][emoji1787]Wewe miaka yote upepo umekushinda kwenye mechi 12?
Goal celebration ya leo.
Tukutane saa 12.[emoji16]View attachment 1551828
Acha mkanyukane vizuri na jogoo kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] timu ya vibweka
Sasampaka hapo huoni utofauti? Miaka yote unahangaika lakini mimi unayeniita mdogo ndani ya muda mfupi nimekuzidi Eoro Cups?Upepo muhimu, ni km ww unapost JF while Aubameyang anakunja £250kpw [emoji1787][emoji1787]
Kama anachezesha Taylor labda.
Donnarumma yuko vizuri pia anaweza kubadilika kwa sababu ya umri wake bado mdogo.FIFA 20 wanampa rating kubwa huyu kipa wa Milan ambaye Chelsea wanataka kumswapa na KEPA
Chelsea have offered Kepa Arrizabalaga in a swap deal for Gianluigi Donnarumma, according to a report.
Mkataba wake unaisha mwakani na inaelekea anaweza goma kusaini mpya
View attachment 1551837
.Sasampaka hapo huoni utofauti? Miaka yote unahangaika lakini mimi unayeniita mdogo ndani ya muda mfupi nimekuzidi Eoro Cups?
Tafuta upepo uje tuongee vizuri.
apuku nyie hamna tofauti na DK SHIKA, RIPMessi alikuwa offered kitambo ila tukamchukua Fabregas
We unatuletea habari za Messi mzee[emoji1787][emoji1787]View attachment 1551741
.apuku nyie hamna tofauti na DK SHIKA, RIP
This is how we do[emoji1787][emoji1787]apuku nyie hamna tofauti na DK SHIKA, RIP
Timo Werner kashaweka kambani wanaonesha kwenye app ya ChelseaHivi hamna Link inayoonyesha hii game ya kirafiki.
Official chelsea app game iko live pamoja na website ya teamHivi hamna Link inayoonyesha hii game ya kirafiki.
Oya wanaume wanapambania community shield kisahani wewe unaleta habari ya wakina mamaWakina mama huko iyeeeena iyeeenaView attachment 1552050