Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

B c be c 🇹🇿✌🏿✌🏿🇹🇿😙🇵🇼😙🇹🇿🇷🇺🇷🇺😚🇹🇿🇹🇿😚🇷🇺👆🏼🙂🙂👆🏿👆🏿☺👆👆🏿🤳👌🤳👆🏿👆🏿👆🤳👆👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿🤳👆😄👆🏿🤳👆🏿🤳:-|:-|:-|:-|(TT):-|:-|:-|:-|:-D(TT)^_^(TT)^_^:-|:-^_^(TT):-|:-|^_^(TT)(TT):-|:-|=_=:-|:-|=_=:-|:-|:-|:-D^_^:'🙂-|(TT)(TT):-|(TT)😙✌🏿✌🏿🇹🇿😙:-|:-|(TT):-|:-|:-|:'🙂-|=_=:-D:-\^_^:-|=_=(TT)(^^)(TT)^_^(TT)=_=:-|:-|=_=:-|:-*:-|:-|^_^(TT):-|:-D:-|:-|=_=:-|^_^^_^:-|:-D:'(🙂😊🤗🤗☺😋🙂☺👆🏿🤳🤳👆🏿✌🏿🤗🇹🇿🤣😚😋☺😊😋☺🤗☺☺😎(TT)=_=^_^(TT)(TT)=_=:-D:-D:-D^_^:-|(TT)(TT)=_=:-*:-D:-D:-|=_=(TT):-|:-|:-|=_=:-|(TT)^_^(TT):-*:-|:-|:-|:-D=_=:-|(TT(TT):-D
Kikosi Cha hatari tupu tunampiga yeyote tunayekutana naye nyingi tu za kutosha
 
kwa upande wangu nhisi mechi za mwanzo timu itakua Hain chemistry nzur has ukizingatia maaingizo mapya ni mengi hii ni changamoto
Itategemea vitu vikuu viwili
  1. Preseason matches - zikiwa nyingi zitawagengea chemistry nzuri na pia kocha atajua nani apangwe wapi na kwa formation ipi
  2. Itategemea kocha atapangaje team kulingana na relationships za wachezaji mmoa mmoja, wawiliwawili nk Mfano yawezekana Timo akacheza vizuri na Giroud halafu yeye akalazimisha acheze na Tammy AU katikati Kante akacheza vizuri na Kova, yeye akamweka Jorginho AU huku nyuma labda Thiago anaendana vizuri na Rudiger yeye akamuweka Zouma. Hizo ndizo chemistry formula ambazo kocha anatakiwa kuzijua na kuziheshimu
 
Emerson bado tunaye angalau kwa msimu ujao, Inter wamekataa bei waliopewa na Chelsea ya Euro 25milioni na wameamua kumnunua Aleksandar Kolarov LB wa AS Roma kwa Euro milioni 2 tu
Marina hapo ametuangusha
 
Inanitesa kwa lipi haswa hebu kuwa specific kwa sababu najaribi kuangalia dioni kitu Arsre8 inaweza kujivunia kwangu. Nawaona km Manyema tu
Mi nakuona km Aston villa tu,kazana utafikia level
tapatalk_jpeg_1589546040498.jpg
 
Hii invisible yako imejaa sare. Invisible kama hizi ulaya zipo za kutosha.

Hivi ungekuwa na invisible kama ile ya Bayern mwaka huu kwenye UEFA ungesema nini?

Maana bayern mwaka huu hakuna hata match moja aliyotoa japo sare. Zote kashinda.
Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]
JamiiForums270821515.jpg
 
Uefa unacheza game 12 unafika Final km upepo upo upande wako,ni km kipindi kile mlikuwa na upepo tu [emoji1787]View attachment 1551589
Kama game 12 unaziona chache basi kaa ukijua toka UCL inaanza ni Bayern pekee ndio wamekuwa na invisible ya kushinda game zote kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho.

Kama ingekuwa ni rahisi hivyo basi na timu zingine zingekuwa zimeshafanya hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom