Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamesuluhu na mtoto mdogo na mpira mbovu.

Takataka itabaki kuwa takataka tu!
Kumbe ?

Kipa lilikuwa lile Pazia lao?
 
Ngoja niwasaidie kitu. Ukiwa kama shabiki wa Chelsea hebu chukua muda wako kuangalia video clips za Kai Havertz YouTube kisha uje hapa useme kama unaridhishwa na £90m.

Yule mchezaji kwenye timu yangu hachezi kabisa. Labda atokee Sub!

Magoli aliyoshinda na assist unaona kabisa kiwango chake ni cha kubahatisha. Uwezo pia ni mdogo.

Halafu unataka kwa pesa umsajili aje kukutana na watu wa kazi wa kina Coady au Soyüncu.. Si mtakuwa mnamtukana kila siku.

[emoji23][emoji23]

Lakini kabla ya yote!

Turudi hapa[emoji116]

LONDON IS RED![emoji837][emoji836]
 
Ziyech ni mavi matupu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti hajazoea ligi! Basi atazoea mwakani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumpe muda mkuu.
David Luiz Born-town, yupo North London kwa wajanja anakula maisha.
IMG_20200829_221442.jpg
 
Chelsea net spend since July 2019:

IN: Werner £47.5m, Ziyech £33.6m, Chilwell £50m, Kovačić £40m.

TOTAL: £171m

OUT: Hazard £100m, Morata £58m, Pasalic £14m, Aina £9m, Kalas £8m, Luiz £8m, Hector £5m, Omeruo £5m.

TOTAL: £207m

🟢 𝐍𝐞𝐭 𝐏𝐫𝐨𝐟𝐢𝐭 = £36m
@Chelsea247
 
Chelsea net spend since July 2019:

IN: Werner £47.5m, Ziyech £33.6m, Chilwell £50m, Kovačić £40m.

TOTAL: £171m

OUT: Hazard £100m, Morata £58m, Pasalic £14m, Aina £9m, Kalas £8m, Luiz £8m, Hector £5m, Omeruo £5m.

TOTAL: £207m

🟢 𝐍𝐞𝐭 𝐏𝐫𝐨𝐟𝐢𝐭 = £36m
@Chelsea247
[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums2048989269.jpg
 
Chelsea net spend since July 2019:

IN: Werner £47.5m, Ziyech £33.6m, Chilwell £50m, Kovačić £40m.

TOTAL: £171m

OUT: Hazard £100m, Morata £58m, Pasalic £14m, Aina £9m, Kalas £8m, Luiz £8m, Hector £5m, Omeruo £5m.

TOTAL: £207m

🟢 𝐍𝐞𝐭 𝐏𝐫𝐨𝐟𝐢𝐭 = £36m
@Chelsea247
Tukumbuke na Kai anakuja kwa £90m

[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200825_131544.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom