Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu
Mtaendelea kusikia tu tetesi mpk dirisha linafungwa ...wachezaji wenu wa next week mbona hatuwasikii
 
Kai,silva na sarr hao wote deal zishakamalika ila bado hazijawa confirmed so ukisema sita tayari naona sio sawa
Mchezaj anakuwa halali tu pale team mbili zinapoconfirm deal lake
Silva na Sar ni free agent, huitaji timu mbili hapo
 


Hapo KEPA tu ndio haaminiki!!!!
1598474493724.png
 
Maneno ya Mbape kwa Thiago Silva

“Thiago, my captain (or just captain but it sounds better as my captain). You are a legend, you made your mark on the history of the club.

“One of the best I have seen and have played with.”
 
Viungo vya fahamu vyote vinakuwasha unatamani usiingize timu uwanjani maana ushaanza kuhisi dhahama inakuja.

Jamani waoneeni huruma Arsenal
Nani Arsenal?
Nasikia kuna kibabu kinatoka Spain mnakisajili,yule Silva kina zaha watamfanya uchochoro
 
Nani Arsenal?
Nasikia kuna kibabu kinatoka Spain mnakisajili,yule Silva kina zaha watamfanya uchochoro
Ifike wakati sasa wageni wakija waanze kwaa kujitambulisha kama ifuatavyo
  1. Una umri gani?
  2. Je umejiunga lini JF?
  3. Je unashabikia timu gani?
  4. Je umeanza ushabiki lini?
  5. Ukiishamaliza hayo ndipo uanze kwa kusalimia "Shikamoo wakubwa zangu" kabla hajaanza kuelezea shida yake
 
Tuwaombee wachezaji wetu, 8 wako quarantine na ligi ndio hiyo inaanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom