Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo ushindi mwembamba,marudiano Barca wana nafasi kubwa kwao
 
Chelsea is a damn tough nut to crack..Good one..They did the job as far as today is concerned.
 
weraa weraa Chelsea, mende kaangusha 'kabati', tumewauwa daraji tunaenda kuwaazikia Nou camp
 
Congrats to Chelsea...they did it.Now lets wait for the return leg at that enormous heck of a stadium.
 
kama kawa chelsea kiboko ya baka!
anaebisha ajinyonge!!!!!!!!!!

Mimi sio mshabiki wa Chelsea lakini nakubaliana na wewe ni wao wanaojaribu na kufanikiwa kuwazuia Barca kwa kiwango cha juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom