balaa hili,bahati nzuri ana watoto tayariDrogba kashikwa na mshipa nini?
mbona drogba kama kishachoka?naona anatembea tuu uwanjani.
mbona kipa wa chelsi anavaa bado helmet kichwani ? au bado hajapona breini konkasheni iliyompataga wakati wa nyuma ?
Karibia watabiri wote wameanza na Chelsea 0- .. Barca, utabili wao umeanza ku fail. HT Chelsea 1- 0 Barca
hiyo atavaa mpaka siku anastaafu soka...
unanikumbusha Omar jongonamna gani hapa solomoni kaluu anakosa nafasi ya wazi