mbona drogba kama kishachoka?naona anatembea tuu uwanjani.
umekunywa CHIMPUMU
mbona drogba kama kishachoka?naona anatembea tuu uwanjani.
Kiukweli nimechoka kuwaona Barça wakiingia final.
Kashatembea nyavuni lile jamaa unaweza kuliona linazubaazubaa tu lakini lina madhara.
Ila ni furaha ya muda mfupi tuu!
Hawa "FIFARONA"next half watakuja kivingine sana!
Zote shari tu mkuu..
umekunywa CHIMPUMU
Hilo jamaa ni la muhimu sana kwenye mechi muhimu japo linajiangusha sana.
bado kimoja kipindi cha pili...shenzy kabisa hawa 'chenga twawala'
2011 Barça na Real,2010 na milan,2009 na man u.2006,Barça na Arsenal, kama nimekumbuka vizuri.Nimechoka ki ukweliWataingia final tuu!
Uwepo wake ni muhimu linajua kutafuta nafasi kule mbele.
Chelsea1-0 barca