Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira ni dakika 90 tusubiri tuone nani atafurahi leo kati ya Chelsea na Barcelona .
 
jamaa wanategemewa kuomba penalty like this
 

Attachments

  • penalt barca.jpg
    penalt barca.jpg
    4.5 KB · Views: 510
Leo naomba The blues washinde,ngoja nilaze watoto mapema.mambo ya kuangalia mechi tamu kama hii huku unarukiwa rukiwa,unajikuta unapitwa.Chel washinde,ila mpira unadunda!
 
Endeleeni kujipa matumaini,mwisho wa siku mtakubali messi aendelee kuitwa messi
 
Barca,kama kawaida kuwamess Chelsea kwa si chn ya bao2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom