Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu jamaa ni moja kati ya wachezaji wachache eneo la kiungo aliyefanya take ons nyingi

Anaingia sana uvunguni na kufanya dribbling

Anacheza sana rafu za kimya kimya , aliwavuruga sana man u ,

Nilipomuangalia nikasema mech na fainal yetu , akikaa vibaya atalambwa red

Ni mchezaji mzuri sana , kama mnamuuza basi lampard anakosea
Wewe kamanda Kova hawezi uzwa hata kwa hela ya Laiza.
 
Sasa mna tofauti gani na yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chelsea ni Utopolo unaovaa brauzi za bluu.
Nasikia nyie mnamtaka Countinho na Willian, makombo bwana zenu wamebakiza baada ya kushiba.
Wakati bwana zenu sisi tunachukua vitu vipya nyie mnang'ang'ana na makombo za bure bure kule dampo. Poleni sana
Haya makombo makombo itawafanya muwe wazuri kuwazidi akina Westham na Fulam na Newcastle. Take my word. Lakini kuwakaribia hata kwa chembe Chelsea, Liverpool, Mancity, FORGET IT. Hata Manyumbu wamewazidi kwa mbali sana. Willian atawasaidia mubaki namba 8 msimu ujao
 
Olivier Giroud Statement on Timo Werner Arrival
“I am not naive – Werner did not arrive to sit on the bench. I will do everything to ensure that the manager finds himself in a situation when he has to make a difficult choice every week [of who starts].”
 
Ilkay Gundogan insists Kai Havertz is better than Michael Ballack was.
 
Antony Rudiger on Willian Chelsea Exit
Rudiger has admitted it will be ‘sad’ if the Brazilian winger leaves Stamford Bridge.

He said: “Since day one of coming to Chelsea, he and David Luiz got me into the team and helped me out in the first couple of months because it was not that easy.

“He is a great guy and a really, really good footballer. He is calm and humble and it will be sad if I don’t see him again as a teammate. He is not the type of player who talks that much.

“He does his thing on the pitch, just like Eden Hazard. By playing, he shows what he is about.

“He is a guy who dictates the game and not many players in the world have this type of quality.

“He is always training [hard] and practising free-kicks after. He is someone who always wants to improve.”
 
Chelsea transfer chief Marina Granovskaia in 'advanced talks' over Ben Chilwell alternative

The Leicester full-back may prove too expensive for the Blues and they are lining up other options in case a deal for the England international isn't possible

Real Madrid left-back Sergio Reguilon is reportedly in advanced talks to sign forChelsea as their chief executive Marina Granovskaia looks to put the finishing touches to the move.

The Blues are known to be in the market for a left-back, and initially identified Leicesterstar Ben Chilwell as their No.1 target following his impressive displays for the Foxes.

Chilwell, who has won 11 caps for England, scored three goals and created three assists for Leicester in the 2019-20 campaign to help them to a fifth placed finish in the Premier League.

However, it is believed Chelsea would have to pay Leicester more than the £80mManchester United spent on Harry Maguire last summer, and thus a move may not be possible.

IMG-20200805-WA0036.jpg
 
Chilwell price drop
According to Football Insider, the Blues are close to a breakthrough now that the Foxes are said to be ready to accept a reduced £50m package for the defender after initially demanding in the region of £75m-£80m.
1596669999713.png
 
Sababu kwa nini Lampard amemchagua Alonso zaidi ya Emerson
Alonso ni mzuri kwenye kushambulia lakini ni mbovu kwenye kukaba na kuzuia (Poor in defensive and tackling areas)
Emerson ni mzuri sio sana kuliko Alonso kwenye kukaba na kuzuia kuliko Alonso lakini sio mzuri kwenye eneo la mashambilizi
Lampard ni kocha ambaye ni attacking minded coach labda kwa sababu yeye alikuwa ni mshambuliaji
Yeye hajali sana timu ikifungwa ali mradi timu inafunga magoli na ndio maana Chelsea ni timu ya 8 nadhani kwa kufungwa magoli mengi kati ya timu 20 za EPL
Pia kwenye mchakato wa usajili mpaka sasa tunaona kipaumbele cha Lampard ni washambuliaji tu. Wakati timu imesheheni washambuliaji wengi kuliko wakabaji yeye bado anang'ang'ana na akina Havertz.
Hii ndio siri ya Lampard kumpenda Alonso zaidi ya Emerson
 
Antony Rudiger on Willian Chelsea Exit
Rudiger has admitted it will be ‘sad’ if the Brazilian winger leaves Stamford Bridge.

He said: “Since day one of coming to Chelsea, he and David Luiz got me into the team and helped me out in the first couple of months because it was not that easy.

“He is a great guy and a really, really good footballer. He is calm and humble and it will be sad if I don’t see him again as a teammate. He is not the type of player who talks that much.

“He does his thing on the pitch, just like Eden Hazard. By playing, he shows what he is about.

“He is a guy who dictates the game and not many players in the world have this type of quality.

“He is always training [hard] and practising free-kicks after. He is someone who always wants to improve.”
Tunamkaribisha Willian , kwa mikono miwili
 
Nasikia nyie mnamtaka Countinho na Willian, makombo bwana zenu wamebakiza baada ya kushiba.
Wakati bwana zenu sisi tunachukua vitu vipya nyie mnang'ang'ana na makombo za bure bure kule dampo. Poleni sana
Haya makombo makombo itawafanya muwe wazuri kuwazidi akina Westham na Fulam na Newcastle. Take my word. Lakini kuwakaribia hata kwa chembe Chelsea, Liverpool, Mancity, FORGET IT. Hata Manyumbu wamewazidi kwa mbali sana. Willian atawasaidia mubaki namba 8 msimu ujao
Giroud ni makombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
 
Taarifa ambayo Arse8 hawatapenda kuisikia wala kusoma, Chelsea Bingwa na wao watajitahidi sana kupanda nafasi ya 6 kutoka ya sasa 8

Football Manager 2020 Simulation

Arsenal's season in 2020/21 with Willian

Despite Willian having a decent campaign, Arsenal had a Premier League season to forget in 2020/21, as Arteta's side finished in sixth place in the league table, behind Tottenham Hotspur.

1596706317102.png

They also under-performed in the cup competitions, going out at the last 16 stage of the Europa League and the quarter-finals of the FA Cup and the Carabao Cup.

According to our Football Manager 2020 simulation, as we've seen in previous simulations featuring the likes of Coutinho and Grealish, the arrival of Willian alone wouldn't be enough to make the Gunners top four challengers, let alone title challengers. But, Willian would be a good signing according to this simulation, even if it is rather short-term signing, with him being 31 years old.

As always, this is just a bit of fun, but it's interesting to see what kind of impact Willian could have at the Emirates Stadium next season if the club did manage to secure his signature.

Source: We 'signed' Willian for Arsenal next season and this is what happened
 
Attachments

  • 1596706219145.png
    1596706219145.png
    4.9 KB · Views: 9
Chelsea open to offers for Kepa Arrizabalaga, Jorginho, Antonio Rudiger and more
View attachment 1527074

Emerson, Victor Moses, Tiemoue Bakayoko, Danny Drinkwater, Kurt Zouma, Andreas Christensen and Michy Batshuayi also among long list of players Chelsea are willing to offload
  1. Kepa Arrizabalaga,
  2. Jorginho,
  3. Antonio Rudiger
  4. Emerson,
  5. Victor Moses,
  6. Tiemoue Bakayoko,
  7. Danny Drinkwater,
  8. Kurt Zouma,
  9. Andreas Christensen
  10. Michy Batshuayi
Source: SkySports
Aisee
 
kaa utulie ulieeeeeeeeeee kwanza upunguze machungu kisha pata maji safi unawe uso uondoe hilo tongotongo la wenge kisha kesho kutwa uanze kuingia humu maana unajiaibisha tu,yule Ollachuga Oc munamdharau lakini ana hekima sana maana yeye anaenda kunywa mipombe huko stress zikiisha siku ya 3 utamuona hapa kwani anaogopa aibu kama hizi....
CHELMATAKO wote kwa pamoja semeni LONDON IS RED
London is BLUE

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]

MKUU MIMI SINYWI POMBE..[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom