Sasa mna tofauti gani na yangaChelsea open to offers for Kepa Arrizabalaga, Jorginho, Antonio Rudiger and more
View attachment 1527074
Emerson, Victor Moses, Tiemoue Bakayoko, Danny Drinkwater, Kurt Zouma, Andreas Christensen and Michy Batshuayi also among long list of players Chelsea are willing to offload
Source: SkySports
- Kepa Arrizabalaga,
- Jorginho,
- Antonio Rudiger
- Emerson,
- Victor Moses,
- Tiemoue Bakayoko,
- Danny Drinkwater,
- Kurt Zouma,
- Andreas Christensen
- Michy Batshuayi




Dauda anawapiga bei gani?Mi nachukuaga kwa Dauda mwanangu. Juzi nimeona katangaza zimeshafika za msimu ujao.
Halafu yan mimi nishindwe kuvaa jezi za Chelsea wakati wewe unavaa nitakua na akili timamu kweli? maana misororo ya timu yenu inahitaji courage sana kutia uzi mwilini.
Kwani yanga wanawezaje nyie mshindweVyombo vya habari Uingereza zinaongoza kwa tetesi
Eti Ngolo Kante na wengine 10 kuuzwa Chelsea
Vyombo vingi vimeripoti ikiwemo SkySports
Sasa wakiuza timu nzima watanunuaje kwa mpigo
35k mzigo quality piru.Dauda anawapiga bei gani?
Kama vipi nijivute nikachukue away kit ya Man city ni kali sana
Kwangu mimi ni Mateo Kovacic. Huyu jamaa kwenye midfield ametimiza sana wajibu wake. Tatizo kubwa la Chelsea linaweza onekana ni beki pekee ila kwenye viungo kuna shida sana hasa wengi wakiwa wavivu lakini huyu mwamba kiwango chake kimekua vizuri sana mpaka kuna wakati anabeba majukumu ya Jorginho hasa kwenye kukaba lakini haachi pia jukumu lake la kukata mawasiliano ya viungo ya timu pinzani ukiangalia game na Man Utd.Kwa mashabiki wa Chelsea tu, Ebu chagua mchezaji wako wa msimu hapa na utoe angalau sababu moja ya kumchagua
- Christian Pulisic
- N'Golo Kante
- Mateo Kovacic
- Willian
- Cesar Azpilicueta
- Jorginho
- Mason Mount
- Tammy Abraham
- Olivier Giroud
- Kurt Zouma
Kenge la magharibi hili. Hawapendi timu za kiingereza zimilikiwe na warusi au waarabu.View attachment 1527115
Sitamsahau huyu JOKER
Acha bwana, ngoja kesho nijisogeze mjini sinza, nikafanye jambo35k mzigo quality piru.
Duh jamaa anawapiga sana , hizo ni 25-3035k mzigo quality piru.
Fanya kweli. Hata home kit ya Juve imepoa kinyamweziAcha bwana, ngoja kesho nijisogeze mjini sinza, nikafanye jambo


lembu Mateo Kovacic ndio anastahili kuwa best player of the team ameperform kwa kiwango Cha juu karibia match zote.Amevuruga team nyingi za opponent pale katikati ikiwemo game dhidi ya man u fa n.k, kiasi Kikubwa yeye ndio anafanya Chelsea icheze soka zuri la kushambulia anaweza kuchukua mpira kwenye maeneo magumu na kusupply kwenye maeneo hatari.Kwa mashabiki wa Chelsea tu, Ebu chagua mchezaji wako wa msimu hapa na utoe angalau sababu moja ya kumchagua
- Christian Pulisic
- N'Golo Kante
- Mateo Kovacic
- Willian
- Cesar Azpilicueta
- Jorginho
- Mason Mount
- Tammy Abraham
- Olivier Giroud
- Kurt Zouma
Naona mzee tunalingana kimawazo angalia nimecomment hivo hivo ngojea nikutag uioneKwangu mimi ni Mateo Kovacic. Huyu jamaa kwenye midfield ametimiza sana wajibu wake. Tatizo kubwa la Chelsea linaweza onekana ni beki pekee ila kwenye viungo kuna shida sana hasa wengi wakiwa wavivu lakini huyu mwamba kiwango chake kimekua vizuri sana mpaka kuna wakati anabeba majukumu ya Jorginho hasa kwenye kukaba lakini haachi pia jukumu lake la kukata mawasiliano ya viungo ya timu pinzani ukiangalia game na Man Utd.
Kama Kanté asingesumbuliwa na majeraha imani yangu tungekua na midfield nzuri sana kwa sababu aki ungana na Kanté mmoja ana anakata umeme mwingine anang'oa nguzo kabisa.
Kovacic My Chelsea Player Of The Season.
Huyu jamaa ni moja kati ya wachezaji wachache eneo la kiungo aliyefanya take ons nyingilembu Mateo Kovacic ndio anastahili kuwa best player of the team ameperform kwa kiwango Cha juu karibia match zote.Amevuruga team nyingi za opponent pale katikati ikiwemo game dhidi ya man u fa n.k, kiasi Kikubwa yeye ndio anafanya Chelsea icheze soka zuri la kushambulia anaweza kuchukua mpira kwenye maeneo magumu na kusupply kwenye maeneo hatari.
Southern Highland
Kwani Nani kakuambia anauzwa?Huyu jamaa ni moja kati ya wachezaji wachache eneo la kiungo aliyefanya take ons nyingi
Anaingia sana uvunguni na kufanya dribbling
Anacheza sana rafu za kimya kimya , aliwavuruga sana man u ,
Nilipomuangalia nikasema mech na fainal yetu , akikaa vibaya atalambwa red
Ni mchezaji mzuri sana , kama mnamuuza basi lampard anakosea
Ukipewa mitusi unaanza kuita moderatorsNdugu zangu wa cheltyako vipi wazima nyie