Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,124
- 16,198
Naona kidonda unakipakaa pilipili[emoji2]msijisahaulishe kama mna mechi na bayern
Naona kidonda unakipakaa pilipili[emoji2]msijisahaulishe kama mna mechi na bayern
Na RB Lepzig walimtumia kama nani?Position za Werner ni hizi:
(SS), (LWF) & (AMF)
Timu ya taifa ya Ujerumani walimtumia kama no. 9 ya uongo kwa sababu katika misimu hii hawakupata straika wa maana wa kufunga magoli kama miaka iliyopita ya kina Gomez na Klose.
Kwahiyo mkitaka kumtumia kama wanavyomtumia wajerumani ndo lazima mrudi kwenye mfumo wa Liva wanavyomtumia Firmino
Kwa maoni yangu Timo ni striker na nadhani ndivyo atakavyochezeshwa Chelsea japo anaweza kucheza almost nafasi zote za mbele za LW na RW wide, Kiungo mshabuliajiPosition za Werner ni hizi:
(SS), (LWF) & (AMF)
Timu ya taifa ya Ujerumani walimtumia kama no. 9 ya uongo kwa sababu katika misimu hii hawakupata straika wa maana wa kufunga magoli kama miaka iliyopita ya kina Gomez na Klose.
Kwahiyo mkitaka kumtumia kama wanavyomtumia wajerumani ndo lazima mrudi kwenye mfumo wa Liva wanavyomtumia Firmino
Nimeelewa hiiKwa maoni yangu Timo ni striker na nadhani ndivyo atakavyochezeshwa Chelsea japo anaweza kucheza almost nafasi zote za mbele za LW na RW wide, Kiungo mshabuliaji
Kuna mchambuzi mmoja alimuelezea Timo kuwa anafunga magoli mengi akicheza kama striker kuliko winga
Kwenye mtandao wa bundelsiga.com inamuelezea Timo anacheza Center forward, LW, RW na No. 10 wide.
Is it centre-forward?
This is clearly Werner’s bread and butter, the position from which he has terrorised opposition defences since Ralph Hassenhüttl gave him a regular spot at the sharp end of his attack in 2016.
Or as a No.10?
“He's finding space in between lines and is harder to predict," said Nagelsmann, while Werner added: "I'm playing in a slightly different position as a kind of No.10. That helps me a lot. I've got a lot of freedom. You often have to wait a long time for your chance and stay patient. But I've developed in that regard.”
As Werner himself explained better than anyone else earlier this season: "I've become more versatile under Julian Nagelsmann, and have already played in a number of positions. I haven't just played out on the left or right... but also as a No.10 or lone striker.”
Mwandishi wa makala hiyo anadai kuwa Werner anakuwa na torches nyingi akicheza kulia kuliko nafasi zingine, ila hii itakuwa contextual na chemistry ya wachezaji pale Stuttgart, sio kila timu hiyo hali itatokea
Typically, in Werner’s sole starting deployment from wide right, the Stuttgart native found the back of the net and had more touches (62) than he averages in total (46.3), centrally (47.2) or even wide on the left (37.6)
Ukisoma vizuri makala katika hiyo website utagundua kuwa Werner anachezeshwa nafasi iwe kiungo mshabuliaji, No. 10, au winga au striker kulingana na yafuatayo
Mimi nahitimisha kwa kusema Werner mweke popote mbele hiyo ni mashine ya magoli atafyatua tu
- Gameplan ya kocha
- Uwezo wa wapikaji kuanzia mabeki, viungo na wingas
- Uwezo wa washabuliaji wenzake mfano ukija Chelsea Pulisic ni mzuri akicheza no. 10 kwa hiyo Werner hatacheza hapo, Ziyech ni mzuri akicheza aidha RW au Center forward na Havertz pia kwa hiyo Werner possibility ya pili ni aidha RW au Center forward. Posibility ya kwanza ni atachezeshwa kama striker hii haina ujanja tena atacheza kama lone striker nyuma yake wakiwepo Pulisic na Ziyech kwenye formation ya 3-4-2-1.
Nafasi nzuri ya Werner itategemea na wachezaji waliopo hasa wa katikati na mbele
Naamini kabisa uwepo wa Ziyech kulia, Pulisic kushoto, Havertz na Mount na Kante katikati Chelsea itakuwa na uwezo wa kupasua ngome za timu yeyote EPL
Reference kubwa nimechukulia kwenye haya makala: What is Timo Werner's best position for RB Leipzig?
Sawasawa
Hizi Jezi hazina soko mkuu, fanya takwimu fupi tu kwa kuchukua sample hapa, wenyewe wote wametoka nduki[emoji2089][emoji2089][emoji2089]wamejificha kusikojulikana... Unafikiri huko mitaani hali ipoje[emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea kuna Uzi wenu hapa bei elfu 25k kwa waliopo dar
Home and away zote zipoView attachment 1526888View attachment 1526889
Huo Uzi mweupe naukubali Sana.Chelsea kuna Uzi wenu hapa bei elfu 25k kwa waliopo dar
Home and away zote zipoView attachment 1526888View attachment 1526889
Wa away ndio mzuri na unauzika kuliko wa homeHuo Uzi kweupe naukubali Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi Jezi hazina soko mkuu, fanya takwimu fupi tu kwa kuchukua sample hapa, wenyewe wote wametoka nduki[emoji2089][emoji2089][emoji2089]wamejificha kusikojulikana... Unafikiri huko mitaani hali ipoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ollachuga Oc
Papaa Gx
Cash Money Forever
Tokeni mlipojificha mitutu tulishairudisha store[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jezi zenu huku, mnataka nani anunue?
Tar 8/8/2020 muda 22:00 ni namba shufwa hizi,
Amini hawa watagongwa 8 au 4....
Hivyo kuonekana humu tena mpaka game za pre season
Kweli kabisa jezi hiyo nyeupe inapendwa Sana kiukwel ila huyo design aliyetengeneza jezi za blue za mwaka Huu amewapiga Chelsea kweupeWa away ndio mzuri na unauzika kuliko wa home
Karibuni sana ujipatie mmoja
Uko sawa
Mkuu hilo tangazo la jezi umeliona lakini? Au hazivaliki
Mi nachukuaga kwa Dauda mwanangu. Juzi nimeona katangaza zimeshafika za msimu ujao.Mkuu hilo tangazo la jezi umeliona lakini? Au hazivaliki