BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,944
- 11,793
Vip Arterta ni kocha wa CHAMPIONSHIP au hata EPL?Arsenal waliupiga mwingi sana.
Hongera kwao
Vip Arterta ni kocha wa CHAMPIONSHIP au hata EPL?Arsenal waliupiga mwingi sana.
Hongera kwao
Ngoja tuta mjaji kwa msimu ujao ..ameanza vyemaVip Arterta ni kocha wa CHAMPIONSHIP au hata EPL?
Kaja mnyonge balaaIs back![]()
Arterta ni kocha mzuriVip Arterta ni kocha wa CHAMPIONSHIP au hata EPL?
Nakubaliana na ww mkuuArterta ni kocha mzuri
TATIZO LA ARSENAL
Different Coaches, Same Results
Arsenal ni ile ile labda mbadilishe owner anunue mtu kama Roman
Acha upigaji ramli lembu ,unajua had sasa Owner kanunua deni la Arsenal la £210m ,ili Arsenal ifanye investment kwenye usajiri ,ambao Arteta anauhitajiArterta ni kocha mzuri
TATIZO LA ARSENAL
Different Coaches, Same Results
Arsenal ni ile ile labda mbadilishe owner anunue mtu kama Roman
Mkuu lugha zako n tata sana jitahd kukosoa au kushambuli kwa lugha ya staha mpira sio ugomv wala matusiNyie cheltyako haya kesho mnaolewa tena fanyeni kuwasafishia naniliu iyo wakina lewandoski
London is Blue
Pride of London.
Mbona lugha stahiki hiyo kwenye majukwaa hayaMkuu lugha zako n tata sana jitahd kukosoa au kushambuli kwa lugha ya staha mpira sio ugomv wala matusi
Kwanza hujajibu swali,pili najua kabisa owner ni Stan Kroenke, amenunua deni hajanunua is out of context.Acha upigaji ramli lembu ,unajua had sasa Owner kanunua deni la Arsenal la £210m ,ili Arsenal ifanye investment kwenye usajiri ,ambao Arteta anauhitaji
Kumbe ndio maana Arse8 ina washabiki wengi wa kike eh!
Correction


