kagwima
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,310
- 1,672
Labda meza ya mbegeNi mwendo wa kupindua mezaView attachment 1530386
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Labda meza ya mbegeNi mwendo wa kupindua mezaView attachment 1530386
Acha akatimize ndoto zake toka mdogoKwa press aliyofanya Lampard inaonesha kabisa Willian anasepa hataongezewa mkataba na club.

Akatimize ndoto au akale pension?Acha akatimize ndoto zake toka mdogo
![]()
Tulishema kitambo mchezaji anayetoka Chelsea kwenda Arsenal ni amekosa option ya maisha. Sasa huko nako ni kutimiza ndoto au na nyie tayari mmeshakisa option ya maisha?Acha akatimize ndoto zake toka mdogo
![]()
Tumsikilize LampardTulishema kitambo mchezaji anayetoka Chelsea kwenda Arsenal ni amekosa option ya maisha. Sasa huko nako ni kutimiza ndoto au na nyie tayari mmeshakisa option ya maisha?
Punguza hasira mkuuTulishema kitambo mchezaji anayetoka Chelsea kwenda Arsenal ni amekosa option ya maisha. Sasa huko nako ni kutimiza ndoto au na nyie tayari mmeshakisa option ya maisha?
Alafu anatokea pimbi mmoja anayeishi huku KWAMTIPULA eti anaenda kula pension,Tumsikilize Lampard
“It is his decision, I haven’t got that answer," Lampard told reporters. "I know the situation at the club’s end. I have a great relationship with Willian, but I don’t actually know what the decision is.
"If that happens over the next whatever days, as he said, then that would be good for me in either way. Of course, I am very happy with Willian. He has been brilliant for me this season with his input and work ethic, within the squad.
"But it is his choice and I respect his choice. He has been a great servant for Chelsea if he decides to move on, and if he does decide to move on then Chelsea will move on and we have to look forwards ourselves.”


mimi nabaki kucheka kwa dhereu


Ulisema ww kama nani?Tulishema kitambo mchezaji anayetoka Chelsea kwenda Arsenal ni amekosa option ya maisha. Sasa huko nako ni kutimiza ndoto au na nyie tayari mmeshakisa option ya maisha?
Sheria ya UEFA inasemaje endapo timu itakataa kwenda uwanjani mechi ya marudiano hatua ya mtoano?



wewe nenda kafie uwanjan Hakuna namna 




Ilikua jumamosi ya tarehe 19/05/2012 Chelsea waliwafunga Bayern Munich fainali ya CL 2012 kwenye uwanja wa Allianz Arena (uwanja wa nyumbani wa Bayern). Hii ilikua siku ya maumivu na uchungu mkubwa kwa wajerumani hawa, kamwe hawatasahau siku hii na ukawa mwanzo wa chuki na kulipiza kisasi dhidi ya Chelsea.wewe nenda kafie uwanjan Hakuna namna
Kwan Chelsea mliwafanya nini hawa jamaa buyern Munich, mbona wanahasira na nyieView attachment 1530606
Usiku wa deni haukawii kukucha, haya ndugu zangu Chelsea nendeni mkalipe madeni yenuSheria ya UEFA inasemaje endapo timu itakataa kwenda uwanjani mechi ya marudiano hatua ya mtoano?



Tena walijaza uwanja na mabango yameandikwa "our stadium our trophy" hayo maumivu hawatoyasahauIlikua jumamosi ya tarehe 19/05/2012 Chelsea waliwafunga Bayern Munich fainali ya CL 2012 kwenye uwanja wa Allianz Arena (uwanja wa nyumbani wa Bayern). Hii ilikua siku ya maumivu na uchungu mkubwa kwa wajerumani hawa, kamwe hawatasahau siku hii na ukawa mwanzo wa chuki na kulipiza kisasi dhidi ya Chelsea.
Ulisema ww kama nani?
Tumsikilize Rudiger anayecheza nae ,
Rudiger:
Willian is like Hazard & I'll be sad if he leaves Chelsea
"He is a great guy and a really, really good footballer. He is calm and humble and it will be sad if I don’t see him again as a team-mate. He is not the type of player who talks that much.
"He does his thing on the pitch, just like Eden Hazard. By playing, he shows what he is about. He is a guy who dictates the game and not many players in the world have this type of quality.
"He is always training [hard] and practicing free-kicks after. He is someone who always wants to improve."
View attachment 1530557



Hii kauli na sura ya huyo jamaa no dhahiri bayern leo ni msumari wa moto kwenye kidonda cha chelsea.wewe nenda kafie uwanjan Hakuna namna
Kwan Chelsea mliwafanya nini hawa jamaa buyern Munich, mbona wanahasira na nyieView attachment 1530606



